BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Mkuu kuna utofauti kati ya Kuandika na ''Kuvunjwa ubavu''Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.
Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta bila shida.
Napanga kuachana na huu ujinga wa kulia lia daily kwemye mitandao, siwezi take action bora nikae kimya kabisa kuliko kuwa mnafiki wa kujificha kwenye keybord.
Siatarajii kuendelea kuwa mnafiki wa kutype kujifanya niko nyuma ya mapambano ilihali ni muoga kuliko hata digidigi kule porini.
Huu unafiki wetu ndio unao fanya wapambanaji real waendelee kuteseka.Tumewekeza sana kwenye unafiki.
acha upotoshaji gentleman,Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.
Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta bila shida.
Napanga kuachana na huu ujinga wa kulia lia daily kwemye mitandao, siwezi take action bora nikae kimya kabisa kuliko kuwa mnafiki wa kujificha kwenye keybord.
Siatarajii kuendelea kuwa mnafiki wa kutype kujifanya niko nyuma ya mapambano ilihali ni muoga kuliko hata digidigi kule porini.
Huu unafiki wetu ndio unao fanya wapambanaji real waendelee kuteseka.Tumewekeza sana kwenye unafiki.
Kwa speed yako hii mabwana zako wanatakiwa kukuongezea posho mara 2 zaidiacha upotoshaji gentleman,
ni wapi waTanzania walikubali hata siku kubebwa ufala kifikra na vibaka wa kisiasa humu nchini?
huwa mnajidanganya na kujipotosha wenyewe mitandaoni kwa unafiki wa kiwango cha juu sana huku kila moja wenu akijua wazi mnachokidai hata ninyi wenyewe hamkijui ndio maana mmebakia kulaumiana tu na mihemko, ghadhabu, makasiriko na matusi tu.
Kwanza mTanzania gani atakubali kupiganiwa na waropokaji wasio na nidhamu wala uelekeo bali wana kiburi na kudandia kila hoja?
hakuna haja ya kujidanganya,
tizama fedheha walizonazo watu walioumizwa leo kwa kuchochewa na vibaka wa kisiasa kufanya mambo haramu? Familia zinahuzunika kubeba mzigo wa malezi ya mlemavu wa kujitakia, lakini pia familia zina hofu ya kua maskini zaidi kwasababu huenda alieumizwa ni baba wa familia π
jikite kwenye hoja bila mihemko wala mihemko gentleman πKwa speed yako hii mabwana zako wanatakiwa kukuongezea posho mara 2 zaidi
Kuyaelewa mazingira ni jambo zuri sana katika maisha haya tunayoishi.Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.
Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta bila shida.
Napanga kuachana na huu ujinga wa kulia lia daily kwemye mitandao, siwezi take action bora nikae kimya kabisa kuliko kuwa mnafiki wa kujificha kwenye keybord.
Siatarajii kuendelea kuwa mnafiki wa kutype kujifanya niko nyuma ya mapambano ilihali ni muoga kuliko hata digidigi kule porini.
Huu unafiki wetu ndio unao fanya wapambanaji real waendelee kuteseka.Tumewekeza sana kwenye unafiki.
Nipo kwenye mada wala sijatoka nje gentlewoman.jikite kwenye hoja bila mihemko wala mihemko gentleman π