technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
We ni nani adi ufutwe!?unawahi nini kuandika?
huu uzi ulifaa uwe comment tu mods futa huu utumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Gywe is a coffin dodger but tunamlia timingunawahi nini kuandika?
huu uzi ulifaa uwe comment tu mods futa huu utumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi.
Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na wauni kama ccm ya sasa bado unaendesha siasa safi no.
Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.
Mjipange mtufunge wote tuone nani atapoteza kati ya umma na dola hakuna mtu anyeweza kuendelea kuvumilia upuuzi unaendelea.
Utoto raha.Tutawachinja kweli kweli endeleeni kutesa watu.

MmmhChadema walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi.
Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na wauni kama ccm ya sasa bado unaendesha siasa safi no.
Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.
Mjipange mtufunge wote tuone nani atapoteza kati ya umma na dola hakuna mtu anyeweza kuendelea kuvumilia upuuzi unaendelea.
Hakika, huu mwaka ni wa kukataa unyonge wetu! Inatosha bora kufa huku unajutetea kuliko kuuliwa kikondoo !Chadema walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi.
Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na wauni kama ccm ya sasa bado unaendesha siasa safi no.
Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.
Mjipange mtufunge wote tuone nani atapoteza kati ya umma na dola hakuna mtu anyeweza kuendelea kuvumilia upuuzi unaendelea.
KinomaUtoto raha.
unawahi nini kuandika?
huu uzi ulifaa uwe comment tu mods futa huu utumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutafanya siasa kali mwaka huu mpaka kieleweke mtufunge wote na dunia ielewe kwa upana kinachoendelea.
Chadema walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi.
Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na wauni kama ccm ya sasa bado unaendesha siasa safi no.
Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.
Mjipange mtufunge wote tuone nani atapoteza kati ya umma na dola hakuna mtu anyeweza kuendelea kuvumilia upuuzi unaendelea.
Jf kuna raha sana, mtu anavyoandika utadhani jasiri kweli !!
Hujawahi kukutana hata na mbata tu ya koplo Ugwadu, halafu unajifanya una uwezo wa kupambana nao.
Nikukumbushe tu kama ulivyo na hamu wewe ya mapambano na upande wa pili nao ni hivyo hivyo, wanaona siku hazifiki za kufanyia kazi kile walichofundishwa.