Watanzania ni wanafiki sana na ndumilakuwili

Watanzania ni wanafiki sana na ndumilakuwili

mmmhhh...kwa hiyo kwenda kufanya vurugu magereza segerea ndio kufanya siasa kali kweli cdm ni upotolo,embu nigeuze nirudi zangu nyumbani nilishafika manyanya hapa naelekea ufipa kuunga mkono juhudi za mwenyekiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf kuna raha sana, mtu anavyoandika utadhani jasiri kweli !!
Hujawahi kukutana hata na mbata tu ya koplo Ugwadu, halafu unajifanya una uwezo wa kupambana nao.
Nikukumbushe tu kama ulivyo na hamu wewe ya mapambano na upande wa pili nao ni hivyo hivyo, wanaona siku hazifiki za kufanyia kazi kile walichofundishwa.

Huwezi pambana Na zama hizi Kwa mbinu za zama zile.
 
Hakika, huu mwaka ni wa kukataa unyonge wetu! Inatosha bora kufa huku unajutetea kuliko kuuliwa kikondoo !

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa
IMG_20200316_065250_415.JPG
IMG_20200316_065235_698.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu kama nyie kwa nini baba yako hakupiga puchu siku hiyo...hawana lolote kama wananchi wakiamua liwalo na liwe..watu elfu kumi wakivamia kituo watafanya nini kwa mfano Mungu aepushe mbali
Kuwa mtulivu inawezekana mie ndo baba yako kwani mama yako alikuwa mdangaji mzuri.
 
Chadema walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi.

Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na wauni kama ccm ya sasa bado unaendesha siasa safi no.

Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.

Mjipange mtufunge wote tuone nani atapoteza kati ya umma na dola hakuna mtu anyeweza kuendelea kuvumilia upuuzi unaendelea.
Bila JINO KWA JINO hakuna mabadiliko
 
Back
Top Bottom