Watanzania ni wanafiki sana na ndumilakuwili

Mkuu naona unawatanguliza watu mbele vuuuh alafu unazama kati unarudi nyuma kujificha unawaacha wapondwe dah!!
Kushindana na serikali za kiafrika kunahitaji uwe technically kamawewe unaficha jina na sura alafu unasema huogopi bila kuonesha mfano!!
Sikuzote nawaasa tupambane kijanja na wasiotufaa wawe upande wa watawala ama upande wa upinzani tusije ishia kujuta wenyewe bila msaada wowote!! Nimewahi fukuzwa chuo najua machungu yakuwa front
 
Na hiki ndicho tumekuwa tukiwaambia wapinzani. Hukiondoa ukondoo wa watanzania wengi,ni vigumu sana sisi individual mmoja mmoja kuorganize watu kupambana na hawa wadhulumati na makatili.
Upinzani una watu wenye clout, wanapaswa ku-mobilize the masses wakitumia platform ya vyama vyao, mbona watu wataelewa. Embu ona issue ya michango juzi, watu walielewa na kuonyesha defiance na nguvu ya umma.
Tukikaa kimya yatatutesa sana huku yakijineemesha.
 
Bro sio idean Sio idea nzuri,unafanya uchochezi usipotoshe watu. Hawa jamaa watavunja watu viuno. Chadema imeshakufa acha ijifie huko.watu watavunjwa viuno wewe mnafiki umelala kwako unakula mzigo.
 
Zifike tu sisi tutapambana na raia wenzetu siyo marobot wenye zana zetu. Wake zao watoto na wazazi wa hayo marobot ni halali yeti tukianzia na mama muuza chapoo pale keko leo
 
watu kama nyie kwa nini baba yako hakupiga puchu siku hiyo...hawana lolote kama wananchi wakiamua liwalo na liwe..watu elfu kumi wakivamia kituo watafanya nini kwa mfano Mungu aepushe mbali
 
Mm naona ni ustaarabu wa wananchi wanao tupiga mbata tupo nao uswahilini familia zao wanashindwa hata kununua nyanya sokoni yaani za jero tunaishi nao sisi tuna watetea wao ili maisha yao na ndugu zao ya boreke sasa wewe unadhani wakitupiga mbata tutashindwa kurudishia indirect way
SIASA NI MASHINDANO YA HOJA zenye msingi NA SI vinginevyo
 
Tutafanya siasa kali mwaka huu mpaka kieleweke mtufunge wote na dunia ielewe kwa upana kinachoendelea.
Dunia ina pambana na Corona kwa sasa, huko kwenye siasa kutasubiri kidogo.
 
Kamanda jitaje jina, lako kamili, makazi na shughuli zako kisha uanze siasa kali
 
Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.
Mkuu Tech.
Mimi nitakuunga mkono bila kusita kama "umma" upo kwenye mapambano hayo.

Lakini fanya hivi: usije ukawa 'mkizi' kwa faida ya mvuvi, unasikia?
 
Ukiona mtu anacomment mara 3 kwenye uzi wake bas anaforce watu wauone! Anakaa dakika 6 akiona kimya watu hawacomment anacoment ye mwenyewe!
 
Kumbe hawakuonewa bali walienda wenyewe kupambana!

Mbona sasa mnapambania ujinga mnaacha vitu vya msingi?

Mtu kalala "selo",amefunguliwa kitabu huko,mmelipa fine halafu siku ya kuachiwa ndo mnaenda kupambana!
 
Kuna wanaojiita upinzani tu muda wote,kuna wana ccm na kuna ambao hawako upande wotewote. Mpaka hapo hatuna umoja tushajitenga mmoja akiongea watu wanaangalia kwanza atakuwa atakuwa upinzani au mwana ccm? Mpaka hapo hakuna jambo ambalo tutafanya kama wamoja hapo ni mwendo wa upinzani na uccm tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…