rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Bora kubaki hai nilee watoto wangu bado wadogo sana aiseeHakika, huu mwaka ni wa kukataa unyonge wetu! Inatosha bora kufa huku unajutetea kuliko kuuliwa kikondoo !
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf kuna raha sana, mtu anavyoandika utadhani jasiri kweli !!
Hujawahi kukutana hata na mbata tu ya koplo Ugwadu, halafu unajifanya una uwezo wa kupambana nao.
Nikukumbushe tu kama ulivyo na hamu wewe ya mapambano na upande wa pili nao ni hivyo hivyo, wanaona siku hazifiki za kufanyia kazi kile walichofundishwa.
Huna uhakika wao ndio walifanya vurugu au walifanyiwaSafi
kama kufa wafe wachache siyo kulitumbukiza taifa zima sasa iwe nguvu ustaarabu haupo tena. Mpk magereza sasa nao wamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unaandika huku umejificha uvunguniTutawachinja kweli kweli endeleeni kutesa watu.
HaaaaaHakika, huu mwaka ni wa kukataa unyonge wetu! Inatosha bora kufa huku unajutetea kuliko kuuliwa kikondoo !
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mtulivu inawezekana mie ndo baba yako kwani mama yako alikuwa mdangaji mzuri.watu kama nyie kwa nini baba yako hakupiga puchu siku hiyo...hawana lolote kama wananchi wakiamua liwalo na liwe..watu elfu kumi wakivamia kituo watafanya nini kwa mfano Mungu aepushe mbali
Bila JINO KWA JINO hakuna mabadilikoChadema walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi.
Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na wauni kama ccm ya sasa bado unaendesha siasa safi no.
Mimi nimependa viongozi kuonyesha njia huu ni mwaka wa uchaguzi tutafanya siasa kali hakuna polisi wanaweza kupambana umma never tuwe mbogo mtanyanganye majimbo yetu kwa nguvu? mjipange sana hatutakubali mwaka huu.
Mjipange mtufunge wote tuone nani atapoteza kati ya umma na dola hakuna mtu anyeweza kuendelea kuvumilia upuuzi unaendelea.