Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Wakati anapita kuaga mwili picha hazikuruhusiwa hadi wakati anaondoka
 
Huwezi kuipata, Diamond na mama yake walichelewa kuingia ukumbini. Protokali rais akishaingia hakuna tena anaeruhusiwa kuingia. Hivyo walikuwa nje.
 
Domo anajisikia mno, Ruge ndiye aliyemtoa kwenye biashara ya mitumba hadi kuwa maarufu
 
mjinga yule amekuja muda ambao hata Rais wa nchi ameshakuja! hana nidhamu mpumbafu kabisa! kaishia nje tuuu ma.ta.ko yake
Pole Mkuu, inaonyesha umekereka kweli, nimejiuliza kama ungekuwa unahojiwa na kamera inakumulika bado ungeweza kutoa maoni kama haya? kujificha nyuma ya keyboard kunatufanya tuwe wapumbavu zaidi.
 
Kifo ni asili ya Binadamu kuzungumza too much ni kushindana na human nature, sisi sote tutakufa kwa Mungu ndio marejeo yetu hivyo tuomboleze kwa kiasi ili tumpe Muumba sifa zake. Pia tujitafakari na kujikosoa ktk maisha yetu juu ya ukuu wa Mungu wetu ili baadae tuwe kundi la mkono wa kiumeni mwa Muumba. Ruge amemaliza sehemu ya pumzi yake, riziki yake na hatua zake sharti apumzike ili apate kuesabiwa haki na mwenye kutoa hukumu ya haki juu ya matendo yake yenye pande mbili kama shilingi hivyo tumtakie safari njema na avune alichopanda kwa mikono yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikia Jana Daimond alikuwa naye Karimjee kwenye kuaga marehemu Ruge.

Kama Kuna mwenye picha tafadhali naomba nione hapa.


Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.

Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.

Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.

He is a wizard.

Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
 
Pole Mkuu, inaonyesha umekereka kweli, nimejiuliza kama ungekuwa unahojiwa na kamera inakumulika bado ungeweza kutoa maoni kama haya? kujificha nyuma ya keyboard kunatufanya tuwe wapumbavu zaidi.
na wewe mpumbav tu ku.ma.nyo.ko
 
.[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naskia kazuiwa kuaga maiti!!!kweli si kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana alizuiwa lakini sio kwa sababu zinazotajwa Instagram bali ni protokali za kiserikali! Diamond alichelewa kufika Karemjee bila kujali sababu za kuchelewa kwake! Kiprotokali, haiwezekani Rais wa Nchi aage mwili halafu baadae atokee mtu mwingine akaage; hiyo itakuwa ni kufanya atakayekuja baada ya Rais ndie boss mweneyewe! Ni kama unavyoona pale Taifa! Viongozi wooooooooote, wanaingia ndipo the Man Himself anaingia!
 
Kila kitu, wengi tu hata Lemutuz, hawakutegemea msiba wa Ruge ungekuwa wa kitaifa walitegemea majungu yao yangewaingia wananchi, ni kama nyoka kichaka kimechomwa wameamua kujitokeza. kama alikuwa mbaya na hana thamani mbele yake leo why ajitokeze?
Kiukweli nilijisikia vibaya sana pale tamasha la fiesta lilivyozuiliwa dakika za mwisho, hlf diamond akapost kuashiria kwamba kafurahishwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli nilijisikia vibaya sana pale tamasha la fiesta lilivyozuiliwa dakika za mwisho, hlf diamond akapost kuashiria kwamba kafurahishwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie watu vipi?! Nothing personal, it's a business! Hivi ulimsikia Majizo alivyokuwa ameongea kuhusu Ruge? Tena aliongelea Clouds na wala sio mitaani!! Pale ndipo nilipokuja kuthibitisha kwamba kumbe kweli jamaa zilikuwa haziivi!!
 
Back
Top Bottom