Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Always, diamond yeye ni mshindi kwa kuwa wabongo wengi wanajua msiba huwa unaombolezewa mtandaoni kwamba mtu akifariki lazima uposti yeye aliamua kutokuposti.

Basi wabongo waliokosa kazi za kufanya acha waanze kumtupia madongo,mara ooh analeta bifu hadi kwenye msiba mbona hajapost..me nikawa najiuliza kwani ni lazima au ni amri kupost kuhusu msiba?
Diamond kwa hekima na busara akachagua kunyamaza.

Jana mida ya saa saba alitinga msibani pale karimjee kuja kuomboleza msiba wa ruge. Aliamua kuja muda wa kawaida kabisa kama raia wengine wasio na dhahifa walivyokuja. Basi wabongo wasivyokosa maneno acha waanze tena, mara ooh mbona kachelewa kuja, ana dharau mara ooh amechelewa kuja ili aje kupata kick.

Nauliza kwani kuna sheria gani inayomtaka mtu awahi kuja msibani? Hivi diamond kwa level hizi ni wakutafuta tena kick?

Diamond always ni mshindi, jana kafika msibani sasa kazi ni kwa wambea wasiokuwa na kazi waanze kumjadili. Diamond ni kama watanzania wengine ata haki ya kuchagua ni yupi wa kumuombolezea.. Mtu sio ndugu yako, sio rafiki yako kwani ni lazima ufanya maombolezo kwenye msiba wake?

Wabongo tuwe serious basi!
IMG_20190303_092338_426.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeenda kwa kuwahi kama wenzake ningemuona kamaanisha, yeye anaenda wakati shughuli inakaribia kwisha watu wengine washatawanyika. Yani hapo ndio kaboronga kabisa, kiki hadi kwenye msiba
 
Kila mtu na ratiba zake, hata kama ukiwahi hutamfufua cha msingi tu ni uwakilishi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan mwanaume unavyomsifia mwanaume mwenzako adi nakuonea huruma
Akitaka kukuoa lazima akuoe
 
Back
Top Bottom