Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Watanzania ni waoga sana hata Mimi muoga sana yaani ukitekwa eneo nililopo Mimi sahau kuhusu msaada Sina mda wa kufa Kwa ajili ya mjinga mwingine aishi sababu sioni faida naona wengi mnaongea sijui watu wa dar wako hivi ajabu maneno na mbwembwe zote zinaishia humu na wahusika ambao ni polisi wanatamba na nyie huko mkoani mnawaona kwanini mnashindwa kuwawajibisha jibu ni fupi tu hamna mtu muoga kwenye kufa kama mtanzania hata Mimi ni muoga sana usifanye masihara na lile tundu la risasi uonyeshewe usoni