Watanzania ni waoga sana hata mimi ni muoga

Umefanya nini Kwa ambao wametekwa na wengine kuuwawa na wengine hawajapatikana kama kina soka na wenzake umwamba wako uko wapi
Kwani wewe maada yako ilikuwa inasemaje??? Nimejikita kwenye maada yako mkuu!
 
Kwa wewe unayetaka kuingia kwenye Siasa naomba nikusihi kuwa siasa siku zote ni mchezo chafu duniani kote so kama uliingia kwenye siasa kwa pupa ukidhani siasa ni fair play majibu ndiyo hayo.

Ova.
 
Mi naona tulikofikia Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake kwa maana wanasiasa wanatafuta huruma kwa watanzania walio maskini badala ya kuwaonea huruma watanzania walio maskini.
Hao akina mbowe, lisu na wengine wengi wanapambania matumbo yao tu.
Sasa watupneeje

Sasa watuoneeje huruma zaidi hayo mapambano wanayoyapambana then tunayaita kutetea matumbo yao? Wazunguke kugawa hela kila kaya?

Elimu ya uraia wanatoa, way foward ya kupambana na mazingira yaliyopo wanatoa na hata kuwa mstari wa mbele ila tunaohangaikiwa tupo kwenye usingizi wa pono, unataka waone huruma gani kwa mazezeta?
 
Mkuu asilimia kubwa ya viongozi wa vyama pinzani ni waganga njaa, wangekuwa wanataka kuwasaidia watanzania wangeunda chama kimoja ambacho kitapambana na CCM. Na nina uhakika chama cha upinzani kingekuwa kimoja baadhi ya hao waganga njaa wasingepata hizo Kiki za kisiasa zinazowaingizia pesa ndiyo maana hawako tayari kuunda chama kimoja.

Nyambafu.
 
Wale walio kufa Kariakoo walipigwa risasi? Hospitalini Daily watu wanakufa kwa kukosa huduma bora vipi wanapigwa risasi? Yule mama mjamzito alie kufa kwa Gari la Wagonjwa kuto kuwa na mafuta alipigwa risasi?
 
Kichwani kwako naona Kuna funza nenda kakikate
 
Uoga huu hautufikishi popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…