Watanzania ni wasahaulifu au wana mioyoni ya kipekee?

Wewe unashangaa hilo. Kuna mwamba aliwapa umeme, maji, akihakikisha mnasikilizwa, elimu bure, kupingwa rushwa.

Wengi walifanya sherere alipokufa. Watanzania hawajui hata mtu anayosimamia maslahi yao.
Yule chizi mpk leo naomba afe tena huko aliko.
 

Ni hivi tuna akili timamu. Ila upinzani ni sehemu ya serikali.

Unajua nyuzi zangu zote zinafutwa kuhusu umeme, maji, maisha ya Watanzania milioni 60.

JF pia ni udikteta unaotumiwa na CCM, CDM hawako huru.
 
Ni hivi tuna akili timamu. Ila upinzani ni sehemu ya serikali.

Unajua nyuzi zangu zote zinafutwa kuhusu umeme, maji, maisha ya Watanzania milioni 60.
Hili la kufutiwa nyuzi limenisibu na mimi mara kadhaa. Hata leo kuna Uzi nikiuoandisha lakini dakika chache baadaye ukatokomea kusikojulikana.

Nimeupandisha mwingine wenye kichwa kama uliofutwa nione kama na wenyewe utatoweka.
 
Hili la kufutiwa nyuzi limenisibu na mimi mara kadhaa. Hata leo kuna Uzi nikiuoandisha lakini dakika chache baadaye ukatokomea kusikojulikana.

Nimeupandisha mwingine wenye kichwa kama uliofutwa nione kama na wenyewe utatoweka.
Sio tu kufuta nyuzi, pia kubadilisha heading. Udikteta ni nini? JF ni nini?
 
Hili la kufutiwa nyuzi limenisibu na mimi mara kadhaa. Hata leo kuna Uzi nikiuoandisha lakini dakika chache baadaye ukatokomea kusikojulikana.

Nimeupandisha mwingine wenye kichwa kama uliofutwa nione kama na wenyewe utatoweka.
Kwa kifupi JF hawako netral. Sifia utawala nyuzi zako zitaonekana vizuri.
 
Na kwenye kubadilisha heading wakati mwingine hubadilisha kabisa mantiki aliyokuwa nayo Mwandishi.
Ni bora waufute uzi wote. Unaonekana kichaa na heading zao.

Unaujua sisi wote ni madikteta tukipewa nafasi ndogo sana, nguvu hata ya ku-moderate ujumbe. Vipi tukipewa mamlaka makubwa? Wengine wataongea na kusikilizwa?
 
Kuhamishwa ni tofauti na kufurushwa hakuna shida.

Hata wanaolima kwenye vyanzo vya maji hizo ni Ardhi zao za Asili ila haiwezekani tukose maji kisa Ardhi Yako ya Asili, likewise Kwa Masai.
 
Ndio hasara ya kujenga hoja kwenye msingi wa uzushi na chuki. Mara ooh sijui Bandari zimezuiliwa kujengwa mara miaka 100 mara sijui DP World atapewa Bandari yote mara sijui nini yaani blaa blaa za kipumbavu.
 
Wewe unashangaa hilo. Kuna mwamba aliwapa umeme, maji, akihakikisha mnasikilizwa, elimu bure, kupingwa rushwa.

Wengi walifanya sherere alipokufa. Watanzania hawajui hata mtu anayosimamia maslahi yao.
Kama vyote hivyo aliwapa mbona Kila.kukicha ni vilio vya maji,umeme,Elimu Hadi Chato? Alikuwa anatokea wapi hayo ?
 
Ogopa sana nchi yenye watu ukiweka hela kwenye kitabu na ukawaacha ukasafiri usipowambia utakuta kama ilivyo
 
Ni nchi yenye watu wengi wasikivu, watulivu, wenye ukarimu, busara na wapenda amani

Kuwa na makabila mengi kumesaidia hayo pia
TZ ina watu waoga, wasio na elimu na wanafiki! Lugha yetu ya kiswahili inadumaza ubongo na nakiri kusema ni adui wa maendeleo!

Hakuna tunachoweza! tunategemea huruma na hisani kutoka kwa viongozi.

Sio rahisi kwa aina ya watu kama wa TZ kupata maendeleo. Nidhamu ya uwoga inatufelisha sana.
 
Nyie ndio wakimbizi wenyewe, wewe uliona wapi mwenyeji anakataa na kuiponda lugha yake... Lugha tangu lini ikadumaza ubongo,

Kinachofanya tusiendelee sio lugha, bali ni uendeshwaji mbovu, usimamiaji mbovu na matumizi mabovu ya rasilimali tulizonazo,

Uendeshwaji, usimamizi na matumizi = Serikali, Taasisi + Raia wenyewe

Mimi naishi kwenye maneno ya CDF, kuna uwezekano mkubwa hii nchi ingeendelea kama anachosema CDF kisingekuwepo...

Lakini kutokana na kwamba kipo basi kuna kundi la watu kwa makusudi wanafanya ubadhirifu na ufisadi ili tu hii nchi isiende kokote kimaendeleo,

Ni miongoni mwetu sisi Raia, wao viongozi na taasisi pia... adui hawezi kukushibisha ili upate nguvu ya kumuangamiza hata siku moja

Fikiria kwamba watu anaowasema CDF wapo Wizara ya nishati, wizara ya kilimo, wizara ya mambo ya ndani, wizara ya uchukuzi... Nchi inapona hapo...

So si kwamba watanzania hawana akili na waoga, wameamua tu kunyamaza na kila mtu kuangalia maisha yake kwa wakati wake
 
Divide and Rule(Gawa na Tawala)

Kutugawa na kututawala ndio mbinu pekee viongozi wa CCM wamefanikiwa kuitumia na kutugeuza mazombi tuna safari ndefu sana

Watanzania sio wasahaulifu Ila Hali duni ya maisha inawafanya watu wasihangaike na mambo ya nchi yanayoendelea,mtanzania akila zake kijiugali na bamia akashushia na maji ambayo sio safi wala salama aaaah Inatosha

Hayo ndio maisha yetu

Inauma😭
 
Kulikoni mbona hilo halizungumziwi tena? Wamasai wameshapatiwa haki yao?[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wamegundua ilikuwa ni ujinga kupinga mtu asijengewe nyumba ya kisasa, abaki porini kuliwa na simba. Na pia waligundua ilikuwa ni mpango wa ulaji wa NGO za wajanja wachache
 
Kikubwa we ukipata upenyo wa kupiga piga kwel pigo la maaana hifadhi 💸💸💸nje, achana na kusemea changamoto za watu sijui Umeme..... Watanzania walisharidhika na kila kitu

Haya wanaharakatii uchwara karibuni mnishambulie
 
1. Jifunze uhusiano wa lugha v/s thinking capacity. Jifunze pia athari za kutumia Lugha moja isiyokuwa na misamiati ya kutosha.

2. Yote uliyoelezea kwenye post yako, yanaonesha namna gani wananchi hawana nguvu ya maamuzi ndani ya nchi yao.

3. Sabab kubwa ya kukosa nguvu ni Elimu duni tuliyonayo, wasomi kuwa wachache, Lugha yetu isiyo na misamiati ya kutosha kupanua fikra.

4. Utakubaliana na mimi kuwa watanzania wengi ni waoga katika kutafuta fursa katika mataifa mbalimbali, na sababu mojawapo ni kutofahamu lugha hasa ya Kiingereza ambayo inazungumzwa takribani ulimwengu mzima.

5. Itoshe kusema, nitakuja kukufundisha uhusiano wa Lugha na matumizi ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…