Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

Sekta ambayo inachangia almost 38 percent ya pato la Taifa lkn mfia CCM anasema ni jambo dogo!! NB; Issue ya kupigania katiba jinsi mlivyo wanafiki kama mafarisayo, mnawaambia wapigania katiba eti.. itamsaidia nn bibi kule kijijin mara itamletea mtu chakula mezani? Ila Pascal sometimes jitafakar san na hoja zako!! Zipo kinafiki mnoo. Jpili njema!!
 
Ushaenza kaburini Chato?
 
Pascally ameweka sawa!Kwenye katiba tumekuwa wapolee,sasa hili la Bandari tunapata wapi uchungu wa kiwango hiki?Hoja chokozi ila ndio hivyo sasa sisi ni watu wa Ajabu!
Hata yeye mbona haendi mahakamani kama mch mtikila? Kumbe kila lililotushinda tuwape wageni watusaidie! Basi na katiba tutaomba watunisia waje waandamane ila la bandari tumeamua kulibeba wenyewe.
 
Herufi kubwa kwa kusisitiza:

SI MNASEMAGA KATIBA HAILETI CHAKULA MEZANI..SASA WATANGANYIKA WAMEANZA NA ISSUE ZINOWAPATIA MEZANI UGALI

WAKIMALIZA HILO NI KUMFUKUZA SAA 100 NA CHAMA CHA MAMBUZI MADARAKANI NA MADAI YASIYO KOMA YA KATIBA MPYA
 
Endelea kupaza sauti hapa hapa tuone utakachobadili
 
Bandari ilikuwa ni risasi ya mwisho iliyokuwa imebaki katika gobore bovu. We are almost finished
 
Kibaya zaidi ni uongo...
Mtu msomi anansema mkataba hauna kikomo..

Wakati kuna "termination clause"inasema kabisa uhai wa IGA utategemea na uhai wa HGA......
Iwapo mkataba wa HGA itakuwa miaka 25 basi IGA ni miaka 25...
Kipengele kipo wazi kabisa
Hicho kipengele unachozungumzia kinasema; "upon expiration of all project agreements"

Hizo "project agreements" ni zipi? development, management, operation..

Sasa hebu tuambie wewe ngumbaru unayejua kiingereza, makubaliano ya sampuli hii yanaisha lini? hasa ikizingatiwa makubaliano yenyewe yana cover maeneo kadhaa ya kiuendeshaji?

Kimsingi, makubaliano ya sampuli hiyo mpaka yaishe, labda itokee maji yakauke kwenye ile bandari, lakini sio kinyume na hapo, na hii ndio sababu wajuzi wanasema mkataba ni wa milele, kwasababu maji ya bahari hayawezi kukauka!.

Hilo suala la HGA nalo umekariri tu, hujui chochote.
 
Bora uwe wa milele hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…