Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

P
Asante kwa bandiko. Ila kuna kitu ume kimiss out. Hivi unadhani Serikali with all its machineries ingeshindwa kuzima huu mjadala on time mara tu ulipoanza? Hiyo theme ya post yako ndio ajenda.
Wacha tuendelea kupiga story za Bandari tu.
 
Sababu kuu ni moja : ukoloni umewapa uzoefu viongozi wetu wa kututawala badala ya kutuongoza kupigania hatua ya pili ya uhuru wa kiuchumi.
 
Thread 'Azimio la Vijana Haliepukiki Kama tunahitaji Katiba Mpya' SoC03 - Azimio la Vijana Haliepukiki Kama tunahitaji Katiba Mpya

Karibuni tujadili na huku wakuu, tubadilishane mawazo na mbinu mbalimbali.
 
Hivi una akili pasikali kweli??unataka tunyamaze ili upate faida gani??Bandari inauzwa unataka tusiseme tumia japo akili kidogo..
 
Sasa ukishindwa kuitetea bandari tu ndo utaitetea katiba ambayo inakwenda kumpunguzia mtawala mamlaka yake??? Yaani bandari ni kitu kidogo??? Lini umewahi kuitetea katiba ya nchi hii zaidi ya kuwapongeza wanaoisigina katiba wazi wazi ?? Acha kututoa kwenye reli bhana....kaa kimya kama ilivyo desturi yko
 

Hadi sasa hujamwelewa mwalimu wako nguli? Kwamba ungali umejipanga upande mmoja na mashehe ubwabwa wetu?
 
Hivi una akili pasikali kweli??unataka tunyamaze ili upate faida gani??Bandari inauzwa unataka tusiseme tumia japo akili kidogo..
Watanzania wanachohitaji ni elimu tuu ya uwekezaji. Hakuna hata milimita moja inauzwa!.
P.
 
Watanzania wanachohitaji ni elimu tuu ya uwekezaji. Hakuna hata milimita moja inauzwa!.
P.

Mkuu hata hawa wasomi nguli kina Shivji, Nshala, Slaa na wa namna hiyo wanahitaji elimu hiyo tokea kwenu au aina za hawa?

Your browser is not able to display this video.
 
Hadi sasa hujamwelewa mwalimu wako nguli?
Mwalimu namwelewa sana, tena mimi ni mmoja wa wanafunzi wake the best, nilimtundikia msonge somo lake la katiba!.

Katiba iliposiginwa, Mwanafunzi huyu mtiifu alimfuata mwalimu wake kumuuliza, iweje katiba yetu inasiginwa mchana kweupe na nyie manguli mpo?, angalia nilicho jibiwa Gwiji wa Sheria na Katiba, Prof. Issa Shivji, Agoma Kuzungumzia Dhana ya Udikiteta/Uvunjifu Katiba!
Kwamba ungali umejipanga upande mmoja na mashehe ubwabwa wetu?
Mimi ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuichambua IGA, pata muda angalia hoja zangu kuhusu IGA Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! ndipo unaujua upande wangu!.
P
 
Kwani P we sio mtanzania wa ajabu, ufanye sehemu yako kama Mtikila kuliko kuwaona watanzania wa ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…