Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 783
- 3,666
Dikteta anaweza ongoza,
Mzembe anaweza kuongoza
Asiejali anaweza kuongoza nk,
Nadhani uhuru wa kupeana mezani yaweza kua sababu, viongozi wanajiona kama malaika, wakishafanikiwa wao wengine hawana maana, mambo yanafanyika na hayatolewi majibu na hakuna anae wajibika, kila kitu ni drama na script,
Viongozi wenye elimu na taaluma na wasio na taaluma hawana tofauti.
1. Viongozi wenye dhamana wanadanganya hadharani
2. Viongozi wenye dhamana wanatishia watu hadharani in the name of penal code
3. Viongozi wenye dhamana badala ya kutatua tatizo, wao ndo wanaharibu.
4. Mamlaka za serikali zinatoa agizo، siku ya nne halijatekelezwa
Kila mtu anajali tumbo lake, maana ya uongozi haieleweki.
5. Huku twitter wamefunga wakati wengine tunatumia domain ya twitter either kujifunza au kupata tonge, mamlaka haisemi chochote.
Viongozi hawasemi chochote, kwa kua wao hela wanawekewa kila mwisho wa mwezi, sisi tunaostrugle kila kona kuzipata hawatujali. Inafika nahali sioni umuhimu wa hawa watu, bora mtu ukakae polini usisikie huu unafiki, watanzania nguvu ya kupaza sauti kwa pamoja hawana.
Baada ya uzi huu naomba niseme Ndugulile i wish you bad na wote walohusika, na leo ndo mwisho kuzungumzia siasa. Nyie endeleeni kufaidi tu
.