Watanzania sasa huku tulikofika ni pabaya...

Kuna mtu kule kasema mwenye ng'ombe atoe namba tuchangie matibabu 🤣
 
Mnapoteza watu kama kina mdude makusudi hamtoi taarifa yoyote wakati mamlaka za uchunguzi zipo mnadhani watu wanawaelewaje mioyoni mwao? Mnavuna mtakachopanda ! Watu wamefikia hatua wanasema kiongozi yeyote wa srkl akipata ajali akanusurika wakimtambua wanauwa unadhani hii inamaana gani?Mnachukiwa mno coz of your deeds.
 
ni roho za ujinga na uchawi.
Magufuli alipendwa na Watanzania kwasababu moja tu kwamba alikuwa kinyume na wenye UTAJIRI. Hata Samia angekuwa kinyume na natajiri angependwa sana.
Ashukuriwe Mungu Samia sio chizi yuko smart
 
Smart my foot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…