Naye anagongaje ng'ombe sasa!
Ilibidi akagonge mti siyo hahah!Naye anagongaje ng'ombe sasa!
Mto Malagarasi pale kuna daraja mkuu alitakiwa awakwepe ng'ombe, kinachobaki kingekuwa ni hadithi!Ilibidi akagonge mti siyo hahah!
Michango ya kumchangia mwenye ng'ombe imeanza!
Watanzania shkamoooMichango ya kumchangia mwenye ng'ombe imeanza!
Watoe namba mkuu tuanze donationMichango ya kumchangia mwenye ng'ombe imeanza!
ni roho za ujinga na uchawi.
Magufuli alipendwa na Watanzania kwasababu moja tu kwamba alikuwa kinyume na wenye UTAJIRI. Hata Samia angekuwa kinyume na natajiri angependwa sana.
Ashukuriwe Mungu Samia sio chizi yuko smart