Watanzania: Shikamooni Wakenya, nyie ni wakubwa.

ume

Umejificha sana lakini wewe ni mkenya. nahisi kama unajitekenya. hivi ndivyo wakenya wanavoingalia tz. lakini nakusifu kwa kuchagiza hii ajenda. inafaa sana kwa nchi yako. wanachofanya secret societies ni kuanzisha ajenda halafu wanaacha watu wapigane humo mwisho wa siku wao wanabenefit wakati nyie mmeachwa hoi. ila kwa wakati huu hizi gimmicks zinagundulika kirahisi tu. nice try.
 
Kwa shobo hizo unazo waletea,wanaweza hata wakakuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu yao ni ya kawaida sana kama uliwahi soma shule za st.mary's ,ndo utanielewa mpaka vitabu ni vya kenya hata walimu ni toka kenya, jamaa wapo hivyo sababu ya hali yao ya maisha ni ya kibepari ndo mana jamaa ni aggressive kwenye kila kitu
Sasa huku kwetu kama mtu haruhusiwi kuhoji jambo unategemea akili yake itakuwaje in the long run? Mwishowe hata scholarship watanganyika hawa watakuwa wanakosa maana hawana uelewa na hawezi kujieleza kabisa. Kati ya mambo ambayo serikali inakomalia kufanya ni kuhakikisha hakuna mtu anajadili siasa wala anatazama jambo kwa jicho la pili. Huu ndo ukilaza wenyewe
 
Mbona South Africa, Mozambique, Zimbabwe, Namibia na Angola walioko kusini wako juu tu kimaendeleo mkuu kutuzidi sisi 'wapumbavu wa ccm' tulio kaskazini kuliko wao?
South Africa na Zimbabwe kumbukua uwepo wa wazungu ndio chachu ya maendeleo yao.

Isitoteshe nimekwambia kuna some exceptions kwa baadhi ya maeneo ila kwa ujumla trend ndio hio.
 
seriously have never heard of this IQ theory...
 
Ww ni mkenya,usituchezee akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana.
 
Stupid mindsets at work.
 
Duuu wabongo bana teh teh
 
The more you move from the equator the wiser people get. There's a theory that says something like that.
 
Hawana lolote hata wao nchini kwao ingekuwepo CCM wangekua kama sisi tu!!
 
Acha porojo Kifo cha C Msando Mkurugenzi wa mawasiliano ya ICT wa IEBC, ndiyo maendeleo, ndiyo IQ, ndiyo siasa safi!?

Matokeo kutolewa kikabila /kanda ndiyo maendeleo ya kisiasa!?

Kuhamisha magoli ya namna ya kuhesabu na kujumlisha kura ndiyo maendeleo!?

Africa, kwenye hizi issue tunawasindikiza wengine.
 
Jomo kenyata ashawahi kumwambia Nyerere kuwa anaongoza wanawake,na yeye Kenyata ndo anaongoza vidume,sisi tumekuwa watu wa tawilee tu katika kila kitu.
Nyerere alitunyima exposure,kupata passport ilikuwa ni shuhuli (mpaka leo),ukimaliza hapo upate kibali cha kupata fedha za kigeni na uwe na maelezo ya kutosha kwanini unakwenda nje,nasikia kuna nchi tulikuwa tunaingia Viza free,akaenda kupeleka fitna.ndo maana wabongo diaspora mpaka leo ni wachache ukilinganisha na jirani zetu.
Elimu songombingo mpaka leo,wanafunzi hawapati mikopo,enzi hizo form six nchi nzima wanamaliza wanafunzi 2000,kuingia form one kijiji kizima ama vijiji viwili anatoka mtoto mmoja tu.
Media nazo zikabanwa enzi hizo magazeti ni uhuru,mzalendo,mfanyakazi,daily news na gazeti la katoliki.ukiangalia hapo yote habari mpaka zipate greenlight kutoka ikulu,redio ndo hiyo RTD na zile za kenya,Tv hakuna kabisa mpaka miaka ya tisini.

Kwahyo tafauti yetu na wenzetu ni elimu na exposure,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…