mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Hapana mkuuMkuu umekabidhiwa majukumu na Joseverest?
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuuMkuu umekabidhiwa majukumu na Joseverest?
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Wakenya Shikamooni!
Tukiacha hizi ligi zetu za jadi, wenzetu hawa wapo mbali sana na sisi walau kwa maeneo matatu muhimu na makubwa sana kwa mustakabali wa Taifa. Kama eneo la elimu, uchumi na siasa. Maeneo hayo yanaleta kitu kinaitwa 'multiplier effect' kwenye Taifa lao. Japo leo tunawapongeza kwa upande wa siasa.
Angalia namna wanavyodili na changamoto za general election yao. Wapo open, wapo humble, wapo pure honest ukiachilia mbalil changamoto za kawaida za ushindani wa kiuchaguzi.
Kuna baadhi wanang'ang'ania suala la kuawawa IT manager wa IEBC. Hili limeleta dosari kwa namna fulani, lkn kupitia forms 34A na 34B naona hili wanalitatua bila matatizo. Ustaarabu huu katika medani ya kisiasa si ya kawaida sana katika Africa hasa Tanzania yetu ambapo Chama pinzani na wana harakati hawaruhusiwi kuwa na Tallying Centres mbali ya kufanya siasa tu za majukwaani.
Nini kilichowafanya hawa jamaa watuzidi? Kwa mtazamo wangu ni mfumo wao wa elimu. Nadhani ukilinganisha mfumo wetu wa elimu na wa kwao wa kwetu umekaa kibabaishaji zaidi yaani mfumo usiokuwa na real vision.
Jambo hili ndilo lililowapelekea kudai tume huru na katiba mpya, wakati huku kwetu wananchi wanaomba kutoka chama tawala wapewe katiba mpya na tume huru. Kenya ni tofauti sana na sisi. Tumewakubali sana.
Leo hawa jamaa soon and very soon watakuwa level moja na South Africa both Kisiasa, Kielimu na Kiuchumi. Sioni kitakachowakwamisha maana hata manyang'au wachache mfumo wao unawathibiti. Sisi tunawatakieni mema.
Wana changamoto moja eneo la usalama. Lakini juhudi wanazozifanya are quiet promising. And we wish them good luck.
Nionavyo, sisi kufikia level ya sasa ya wakenya sijui lini kwa mwendo huu tunaoenda nao sasa.
Again, shikamooni wakenya.
Kwa shobo hizo unazo waletea,wanaweza hata wakakuoa.Wakenya Shikamooni!

Sasa huku kwetu kama mtu haruhusiwi kuhoji jambo unategemea akili yake itakuwaje in the long run? Mwishowe hata scholarship watanganyika hawa watakuwa wanakosa maana hawana uelewa na hawezi kujieleza kabisa. Kati ya mambo ambayo serikali inakomalia kufanya ni kuhakikisha hakuna mtu anajadili siasa wala anatazama jambo kwa jicho la pili. Huu ndo ukilaza wenyeweElimu yao ni ya kawaida sana kama uliwahi soma shule za st.mary's ,ndo utanielewa mpaka vitabu ni vya kenya hata walimu ni toka kenya, jamaa wapo hivyo sababu ya hali yao ya maisha ni ya kibepari ndo mana jamaa ni aggressive kwenye kila kitu
South Africa na Zimbabwe kumbukua uwepo wa wazungu ndio chachu ya maendeleo yao.Mbona South Africa, Mozambique, Zimbabwe, Namibia na Angola walioko kusini wako juu tu kimaendeleo mkuu kutuzidi sisi 'wapumbavu wa ccm' tulio kaskazini kuliko wao?
seriously have never heard of this IQ theory...Kuna uhsiano mkubwa wa IQ ya binadamu na eneo analopatikana binadamu husika.
Kadri unavyo-move kwenda kaskazini mwa bara letu ndivyo IQ ya binadamu invyoongezeka, maarifa,uwezo wa kufikiri,uzalendo,n.k ingawa kuna some exceptions kidogo.
Ndio maana wamisri na wanaigeria huwezi kuwalinganisha kimandeleo na watu wanaoishi kusini mwa jangwa la sahara
Ni sababu hiyo hiyo inayowafanya wamisri, wamorocco,waalgeria,n.k wawe na maendeleo yanayofanana na watu wa mataia ya Ulaya wanayopakana nayo as you move futher north.
Ww ni mkenya,usituchezee akiliWakenya Shikamooni!
Tukiacha hizi ligi zetu za jadi, wenzetu hawa wapo mbali sana na sisi walau kwa maeneo matatu muhimu na makubwa sana kwa mustakabali wa Taifa. Kama eneo la elimu, uchumi na siasa. Maeneo hayo yanaleta kitu kinaitwa 'multiplier effect' kwenye Taifa lao. Japo leo tunawapongeza kwa upande wa siasa.
Angalia namna wanavyodili na changamoto za general election yao. Wapo open, wapo humble, wapo pure honest ukiachilia mbalil changamoto za kawaida za ushindani wa kiuchaguzi.
Kuna baadhi wanang'ang'ania suala la kuawawa IT manager wa IEBC. Hili limeleta dosari kwa namna fulani, lkn kupitia forms 34A na 34B naona hili wanalitatua bila matatizo. Ustaarabu huu katika medani ya kisiasa si ya kawaida sana katika Africa hasa Tanzania yetu ambapo Chama pinzani na wana harakati hawaruhusiwi kuwa na Tallying Centres mbali ya kufanya siasa tu za majukwaani.
Nini kilichowafanya hawa jamaa watuzidi? Kwa mtazamo wangu ni mfumo wao wa elimu. Nadhani ukilinganisha mfumo wetu wa elimu na wa kwao wa kwetu umekaa kibabaishaji zaidi yaani mfumo usiokuwa na real vision.
Jambo hili ndilo lililowapelekea kudai tume huru na katiba mpya, wakati huku kwetu wananchi wanaomba kutoka chama tawala wapewe katiba mpya na tume huru. Kenya ni tofauti sana na sisi. Tumewakubali sana.
Leo hawa jamaa soon and very soon watakuwa level moja na South Africa both Kisiasa, Kielimu na Kiuchumi. Sioni kitakachowakwamisha maana hata manyang'au wachache mfumo wao unawathibiti. Sisi tunawatakieni mema.
Wana changamoto moja eneo la usalama. Lakini juhudi wanazozifanya are quiet promising. And we wish them good luck.
Nionavyo, sisi kufikia level ya sasa ya wakenya sijui lini kwa mwendo huu tunaoenda nao sasa.
Again, shikamooni wakenya.
Asante sana.Wakenya Shikamooni!

Stupid mindsets at work.Wakenya Shikamooni!

Akili yako imeganda, haiwezi elewa.Stupid mindsets at work.
Duuu wabongo bana teh tehume
Umejificha sana lakini wewe ni mkenya. nahisi kama unajitekenya. hivi ndivyo wakenya wanavoingalia tz. lakini nakusifu kwa kuchagiza hii ajenda. inafaa sana kwa nchi yako. wanachofanya secret societies ni kuanzisha ajenda halafu wanaacha watu wapigane humo mwisho wa siku wao wanabenefit wakati nyie mmeachwa hoi. ila kwa wakati huu hizi gimmicks zinagundulika kirahisi tu. nice try.
Kujidhalilisha tu,mwingine anasema amepata visa ya kuishi Kenya na anatuaga wabongo bye bye.....upuuzi mtupuStupid mindsets at work.
The more you move from the equator the wiser people get. There's a theory that says something like that.Kuna uhsiano mkubwa wa IQ ya binadamu na eneo analopatikana binadamu husika.
In other words,Human Intelligence Quotient is a function of the Region where that particular human being is or can be found.
Kadri unavyo-move kwenda kaskazini mwa bara letu ndivyo IQ ya binadamu invyoongezeka, maarifa,uwezo wa kufikiri,uzalendo,n.k ingawa kuna some exceptions kidogo.
Ndio maana wamisri na wanaigeria huwezi kuwalinganisha kimandeleo na watu wanaoishi kusini mwa jangwa la sahara
Ni sababu hiyo hiyo inayowafanya wamisri, wamorocco,waalgeria,n.k wawe na maendeleo yanayofanana na watu wa mataia ya Ulaya wanayopakana nayo as you move futher north.
Hawana lolote hata wao nchini kwao ingekuwepo CCM wangekua kama sisi tu!!Wakenya Shikamooni!
Tukiacha hizi ligi zetu za jadi, wenzetu hawa wapo mbali sana na sisi walau kwa maeneo matatu muhimu na makubwa sana kwa mustakabali wa Taifa. Kama eneo la elimu, uchumi na siasa. Maeneo hayo yanaleta kitu kinaitwa 'multiplier effect' kwenye Taifa lao. Japo leo tunawapongeza kwa upande wa siasa.
Angalia namna wanavyodili na changamoto za general election yao. Wapo open, wapo humble, wapo pure honest ukiachilia mbalil changamoto za kawaida za ushindani wa kiuchaguzi.
Kuna baadhi wanang'ang'ania suala la kuawawa IT manager wa IEBC. Hili limeleta dosari kwa namna fulani, lkn kupitia forms 34A na 34B naona hili wanalitatua bila matatizo. Ustaarabu huu katika medani ya kisiasa si ya kawaida sana katika Africa hasa Tanzania yetu ambapo Chama pinzani na wana harakati hawaruhusiwi kuwa na Tallying Centres mbali ya kufanya siasa tu za majukwaani.
Nini kilichowafanya hawa jamaa watuzidi? Kwa mtazamo wangu ni mfumo wao wa elimu. Nadhani ukilinganisha mfumo wetu wa elimu na wa kwao wa kwetu umekaa kibabaishaji zaidi yaani mfumo usiokuwa na real vision.
Jambo hili ndilo lililowapelekea kudai tume huru na katiba mpya, wakati huku kwetu wananchi wanaomba kutoka chama tawala wapewe katiba mpya na tume huru. Kenya ni tofauti sana na sisi. Tumewakubali sana.
Leo hawa jamaa soon and very soon watakuwa level moja na South Africa both Kisiasa, Kielimu na Kiuchumi. Sioni kitakachowakwamisha maana hata manyang'au wachache mfumo wao unawathibiti. Sisi tunawatakieni mema.
Wana changamoto moja eneo la usalama. Lakini juhudi wanazozifanya are quiet promising. And we wish them good luck.
Nionavyo, sisi kufikia level ya sasa ya wakenya sijui lini kwa mwendo huu tunaoenda nao sasa.
Again, shikamooni wakenya.
HahahahahahaHawana lolote hata wao nchini kwao ingekuwepo CCM wangekua kama sisi tu!!
nkhii nkhiii nkhiiii. huyo ni m254 mwenzio huyo kajitekenya..MARAHABAAA!! Tumepokea...