Watanzania: Shikamooni Wakenya, nyie ni wakubwa.

South Africa na Zimbabwe kumbukua uwepo wa wazungu ndio chachu ya maendeleo yao.

Isitoteshe nimekwambia kuna some exceptions kwa baadhi ya maeneo ila kwa ujumla trend ndio hio.
Sasa Kwani Nairobi alijenga babako
 
Kijana naona mombasa imekuingia kumoyo mpaka unatukana wazazi wako hahaha ila tambua hiyo ni haramu sababu sio kwa mahaba hayo.
 
Mh ase wewe kumbe ni mbulula zaidi ya nilivyokuhisi. Worse enough mpo wengi wenye hii mindset.
Long way to freedom.
 
Kijana naona mombasa imekuingia kumoyo mpaka unatukana wazazi wako hahaha ila tambua hiyo ni haramu sababu sio kwa mahaba hayo.
Hapa wazazi wanahusikaje sasa; kwan bado hujaacha kuvuta shisha?
 
Mengine yote naweza kukubaliana na wewe ila k hili tatizo la Ukabila unifanya niione Tanzania iko level ya juu sana zaidi ya Kenya, kwa kweli kwa msomi kufirikia ukabila wakati wa kutoa maamuzi ila shusha sana yaani hapo ndio huwa nawacoka na kujiona sisi bora sana, ukabila ni changamoto yapaswa waifanyie kazi sana tena sio kwa jazba. maana hapo ndio udhaifu wao ulipo, hizo the so called stronghold zimejaa ukakasi tofauti na kwetu TZ.

Kingine ni distribution of resources, ukiangalia maisha ya watu wa kibera na westi , aaaa wapi kaka!!!!

Lakini kwa mengine Mash Allah!!
 
Kuwa na spirit ya mshindani anayekubali kushindwa ili ajipange kushinda. Ukikaa kwenye giza hilo hautatutoa watanzania hapa tulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Botswana, Angola, South African, Namibia mbona ziko juu kiuchumi kuliko nchi nyingi za kaskazini??

Kenya ni nchi ambayo yote yanayotokea ni matokeo ya historia, wakoloni waliifanya kama overseas province hivyo waliwekeza sana. na baada ya uhuru Kenya iliendelea kuwa kibaraka wa nchi za magharibi, and any mission from West landed in Kenya before other Afrikan countries.

pamoja na hayo bado nchi yetu ina tunu adimu na adhimu za umoja na mshikamano bila ukabila. naipenda Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…