19 records studio
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 421
- 1,085
I hate Kenyans
But my relative are lived in Mombasa, Kenya.
But my relative are lived in Mombasa, Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, uchambuzi wako unawalakini.Kuna uhsiano mkubwa wa IQ ya binadamu na eneo analopatikana binadamu husika.
In other words,Human Intelligence Quotient is a function of the Region where that particular human being is or can be found.
Kadri unavyo-move kwenda kaskazini mwa bara letu ndivyo IQ ya binadamu invyoongezeka, maarifa,uwezo wa kufikiri,uzalendo,n.k ingawa kuna some exceptions kidogo.
Ndio maana wamisri na wanaigeria huwezi kuwalinganisha kimandeleo na watu wanaoishi kusini mwa jangwa la sahara
Ni sababu hiyo hiyo inayowafanya wamisri, wamorocco,waalgeria,n.k wawe na maendeleo yanayofanana na watu wa mataia ya Ulaya wanayopakana nayo as you move futher north.
Nadiriki kusema wewe ni Mkenya.Wakenya Shikamooni!
Tukiacha hizi ligi zetu za jadi, wenzetu hawa wapo mbali sana na sisi walau kwa maeneo matatu muhimu na makubwa sana kwa mustakabali wa Taifa. Kama eneo la elimu, uchumi na siasa. Maeneo hayo yanaleta kitu kinaitwa 'multiplier effect' kwenye Taifa lao. Japo leo tunawapongeza kwa upande wa siasa.
Angalia namna wanavyodili na changamoto za general election yao. Wapo open, wapo humble, wapo pure honest ukiachilia mbalil changamoto za kawaida za ushindani wa kiuchaguzi.
Kuna baadhi wanang'ang'ania suala la kuawawa IT manager wa IEBC. Hili limeleta dosari kwa namna fulani, lkn kupitia forms 34A na 34B naona hili wanalitatua bila matatizo. Ustaarabu huu katika medani ya kisiasa si ya kawaida sana katika Africa hasa Tanzania yetu ambapo Chama pinzani na wana harakati hawaruhusiwi kuwa na Tallying Centres mbali ya kufanya siasa tu za majukwaani.
Nini kilichowafanya hawa jamaa watuzidi? Kwa mtazamo wangu ni mfumo wao wa elimu. Nadhani ukilinganisha mfumo wetu wa elimu na wa kwao wa kwetu umekaa kibabaishaji zaidi yaani mfumo usiokuwa na real vision.
Jambo hili ndilo lililowapelekea kudai tume huru na katiba mpya, wakati huku kwetu wananchi wanaomba kutoka chama tawala wapewe katiba mpya na tume huru. Kenya ni tofauti sana na sisi. Tumewakubali sana.
Leo hawa jamaa soon and very soon watakuwa level moja na South Africa both Kisiasa, Kielimu na Kiuchumi. Sioni kitakachowakwamisha maana hata manyang'au wachache mfumo wao unawathibiti. Sisi tunawatakieni mema.
Wana changamoto moja eneo la usalama. Lakini juhudi wanazozifanya are quiet promising. And we wish them good luck.
Nionavyo, sisi kufikia level ya sasa ya wakenya sijui lini kwa mwendo huu tunaoenda nao sasa.
Again, shikamooni wakenya.
you need to be in Kenya too. definately your relatives are living life in the fast lane! something maybe they won't tell you.I hate Kenyans
But my relative are lived in Mombasa, Kenya.
Elimu yao ni ya kawaida sana kama uliwahi soma shule za st.mary's ,ndo utanielewa mpaka vitabu ni vya kenya hata walimu ni toka kenya, jamaa wapo hivyo sababu ya hali yao ya maisha ni ya kibepari ndo mana jamaa ni aggressive kwenye kila kitu
If you are Tanzanian, you should do a thorough rehabilitation of your mindset and start looking things in 3D... But if you are not, you have to concentrate with your own country and stop saying on behalf of others country!Akili yako imeganda, haiwezi elewa.
Hawana lolote hata wao nchini kwao ingekuwepo CCM wangekua kama sisi tu!!
Tatizo lako unafikiri elimu ni makaratasi yako, elimu na kuelimika ni vitu tofauti, honestly kama sio mbinafsi ni wazi Kenya unazidi kutuacha ktk mambo mengi!Elimu yao ni ya kawaida sana kama uliwahi soma shule za st.mary's ,ndo utanielewa mpaka vitabu ni vya kenya hata walimu ni toka kenya, jamaa wapo hivyo sababu ya hali yao ya maisha ni ya kibepari ndo mana jamaa ni aggressive kwenye kila kitu
Mmh!! Mkenya umeshaona ganda la ndizi unataka kuteleza?you need to be in Kenya too. definately your relatives are living life in the fast lane! something maybe they won't tell you.
lemme know when you are ready, so i can make for you travel arrangements
Kweli kabisa mkuuIf you are Tanzanian, you should do a thorough rehabilitation of your mindset and start looking things in 3D... But if you are not, you have to concentrate with your own country and stop saying on behalf of others country!
That's how that comments works...Ova
If you are Tanzanian, you should do a thorough rehabilitation of your mindset and start looking things in 3D... But if you are not, you have to concentrate with your own country and stop saying on behalf of others country!
That's how that comments works...Ova
Hahahahaha kisa nini sasa?Tutakuja kama mwewe ndani ya noah nyeusi,kwa siku na mda usioutarajia,ole wako tukutie mikononi,utaimba haleluya...
Unadhani basi hawaelewi, basi tu kutaka ligi!Tatizo lako unafikiri elimu ni makaratasi yako, elimu na kuelimika ni vitu tofauti, honestly kama sio mbinafsi ni wazi Kenya unazidi kutuacha ktk mambo mengi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa kama sisi before 2007 ila baada ya pale kila mtu alijua kushika adabu.♡♡♧
Sisem itokee kama ile hapana ila we can have better ways kama ilivyotokea Ghana.