Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hawatachagua chama ambacho wafuasi, viongozi na wanachama wake sio wazalendo

Mimi sio mtoto boss, tume iliyo huru, na tume inayoshiriki ushenzi wa kunajisi uchaguzi naweza kuzitenganisha vizuri sana. Tume hii ni sehemu ya ushenzi wa wazi unaoendelea kwenye chaguzi zetu.
Mimi ninavyofahamu ni kuwa,kila chama kinaweka wakala kila ngazi ya kituo. Kuanzia kituoni,jimboni hadi taifa. Na huyo wakala analinda kura na kujaza fomu za matokeo. Matokeo yanabandikwa nje kila kituo kwa uwazi na kujumlishwa jimboni na ngazi ya taifa. Sasa wewe unataka uhuru gani? Fafanua.
 
Hawatochagua mtu anaewaletea umasikini watu ili wamuabudu,
 
Siku JPM akitoka madarakani ndio mtajua madudu yake!
 
Wajifunze...Wasituletee siasa za kilaghai...wameshindwa kujenga chama watawezi Nchi....Wamepoteana kila mmoja yuko kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…