Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Haya yana ukweli? Uthibisho na ushahidi?Wizi wa kura ndiyo muelekeo mzuri?
Kati yangu na wewe ulieuliza swali kama hii nani ni maskini wa akili?Wewe utakua sio timamu. Ni fukara wa mawazo na unakila dalili utakufa masikini.
Wananchi watakula hizo SGR na BARABARA, kama mnatuma mpaka TRA wakawabamkize kodi wakulima???
Nani kakutendea maovu?Hata mtaani ukiwatendea vyema jirani nao watakutembea mema.
Ukweli ni nini, uthibitisho ni nini na ushahidi ni nini?Haya yana ukweli? Uthibisho na ushahidi?
Serikali ya Awamu ya TANONani kakutendea maovu?
Kisa?Serikali ya Awamu ya TANO
Usinichoshe kwa hiyo nikikuambia kisa utaenda kunitatulia kilichonikuta?Kisa?
🤣🤣🤣Wizi wa kura ndiyo muelekeo mzuri?
Kinyonga akijibadili rangi anaonekana ni kiumbi mpya mzuri kwa wale wasio jua biologia, lakini kiharisia anabaki kuwa kinyonga yule yule, kwa hiyo ndugu yangu CCM itabaki kuwa ileile , huyu wa sasa kabadili rangi yake tu, akiondoka wata rudi wale wale tena. Nitamwona wa maana kama atabadili sheria na katiba ya nchi na kuipa nguvu ile mihimili mikubwa miwili yaani mahakama na bunge, hasa mahakama sababu mahakama haibadiliki ipewe nguvu ya kutumia inforcement yetu kumuwajibisha yeyeto anaye chezea katiba yetu. Bunge linaweza kuwa influenzidi na chama chenye wabunge wengi.Kwani tulianguka tukiwa chini ya utawala wa chama gani na sasa tunaongozwa na chama gani?
Au kuna kipindi hii nchi ilikuwa haina uongozi?
Embu acha kupost upumbavu wako hapa mjinga mkubwa wewe
Akili za vichaa wa Lumumba , uchumi wa kati wakati nchi haina hata kiwanda cha toothpicks au pini ulungu ( thugtax ) .Ninasikitika sana ninapoona watu hawalitakii mema Taifa lao. Hivi hamjui kuwa tunaelekea pazuri?
Kwa nini ubeze mradi kama SGR, JNHP au barabara na miundo mbinu inayoimarishwa?
Jamani naomba mtambue, kuna kipindi kama Taifa, tulianguka ndio maana tunashuhudia mambo ya kimaendeleo ambayo yalitakiwa yafanyike 1980's hivi leo ndio yanafanyika.
Kwa hiyo tupongeze na kuunga juhudi juu ya kinachofanyika hapa nchini hivi leo, habari za kubeza ni kukosa uzalendo.
Tumia kutafakari kiduchu. Je, utapata faida gani kama hii miradi mkakati isipofanikiwa?
Je, haitakunufaisha wewe na kizazi chako chote?
Kwahiyo acha ushabiki wa kizandiki unga mkono juhudi na mafanikio ya Taifa lako.