Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Ninasikitika sana ninapoona watu hawalitakii mema Taifa lao. Hivi hamjui kuwa tunaelekea pazuri?
Kwa nini ubeze mradi kama SGR, JNHP au barabara na miundo mbinu inayoimarishwa?
Jamani naomba mtambue, kuna kipindi kama Taifa, tulianguka ndio maana tunashuhudia mambo ya kimaendeleo ambayo yalitakiwa yafanyike 1980's hivi leo ndio yanafanyika.
Kwa hiyo tupongeze na kuunga juhudi juu ya kinachofanyika hapa nchini hivi leo, habari za kubeza ni kukosa uzalendo.
Tumia kutafakari kiduchu. Je, utapata faida gani kama hii miradi mkakati isipofanikiwa?
Je, haitakunufaisha wewe na kizazi chako chote?
Kwahiyo acha ushabiki wa kizandiki unga mkono juhudi na mafanikio ya Taifa lako.