Watanzania tuache kujidharau!

Watanzania tuache kujidharau!

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Kweli ni wengi na wametoka mataifa karibu 23 ndani ya Afrika na Nje,kama ifuatavyo:-

1. Kenya
2. Uganda
3. Malawi
4. Congo
5. Rwanda
6. Ethiopia
7. Germany
8. Mozambique
9. Zambia
10. South Sudan
11. Liberia
12. Swaziland
13. Burundi
14. Zimbabwe
15. China
16. Tokelau
17. Egypt
18. Ghana
19. Nigeria
20. Sierra Leone
21. Gambia
22. Somalia
23. Cameroon.

bado wale wa muda mfupi wapo wengi kutoka Norway,Germany & China.

data za vyuo vingine sijui Ila kwa UDSM kwa Mwaka huu wanafunzi wa Nje wametokea mataifa hayo.hii maana yake elimu yetu kwa Tanzania ikiwakilishwa na UDSM bado IPO vizuri ndio maana tunapata wageni hao.
 
Kweli ni wengi na wametoka mataifa karibu 22 ndani ya Afrika na Nje,kama ifuatavyo:-
1.Kenya
2.Uganda
3.Malawi
4.Congo
5.Rwanda
6.Ethiopia
7.Germany
8.Mozambique
9.Zambia
10.South Sudan
11.Liberia
12.Swaziland
13.Burundi
14.Zimbabwe
15.China
16.Tokelau
17.Egypt
18.Ghana
19.Nigeria
20.Sierra Leone
21.Gambia
22.Somalia
bado wale wa muda mfupi wapo wengi kutoka Norway,Germany & China.
data za vyuo vingine sijui Ila kwa UDSM kwa Mwaka huu wanafunzi wa Nje wametokea mataifa hayo.hii maana yake elimu yetu kwa Tanzania ikiwakilishwa na UDSM bado IPO vizuri ndio maana tunapata wageni hao.
Aisee..
 
Wameorodhesha na kozi zao?

Bila shaka Kiswahili ndiyo imeongoza kwa hao wa muda mfupi.
 
Hamna hata mona anayechukua kiswahili, na ukumbuke sio rahisi RAIA wa kigeni ajifunze lugha ambayo sio yake hadi level ya masters au PhD.
 
Hatari sana mkuu embu tuulizie wako wangapi lkn jambo la kujivunia
Wapo wengi maana karibu kila Nchi niliyorodhesha hapo ina zaidi ya mwanafunzi moja.Ingawa Uganda,Kenya,Rwanda na Burundi kwa kila Nchi wapo zaidi ya 4.
 
Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Kweli ni wengi na wametoka mataifa karibu 23 ndani ya Afrika na Nje,kama ifuatavyo:-
1.Kenya
2.Uganda
3.Malawi
4.Congo
5.Rwanda
6.Ethiopia
7.Germany
8.Mozambique
9.Zambia
10.South Sudan
11.Liberia
12.Swaziland
13.Burundi
14.Zimbabwe
15.China
16.Tokelau
17.Egypt
18.Ghana
19.Nigeria
20.Sierra Leone
21.Gambia
22.Somalia
23.Cameroon.
bado wale wa muda mfupi wapo wengi kutoka Norway,Germany & China.
data za vyuo vingine sijui Ila kwa UDSM kwa Mwaka huu wanafunzi wa Nje wametokea mataifa hayo.hii maana yake elimu yetu kwa Tanzania ikiwakilishwa na UDSM bado IPO vizuri ndio maana tunapata wageni hao.
Ungeweka na masomo waliyokuja kusoma, inawezekana wanakuja kusoma Kiswahili na tamaduni za Tanzania, vitu ambavyo hawawezo kusoma nchi nyingi.
 
Hamna hata mona anayechukua kiswahili, na ukumbuke sio rahisi RAIA wa kigeni ajifunze lugha ambayo sio yake hadi level ya masters au PhD.
mhhh wapo watu kibao ambao wana PHDs za lugha ambazo si zao, tukianzia hapo UDSM wamejaa tele! mtu kama Dr Ndoloi kiingereza ni lugha yake yule? haya na Dr Kadeghe? au kwa mfano yule alokuwa mshauri wa JPM kwenye issue za lugha ana PHD ya kifaransa ilhal kazaliwa kakua anajua kilugha chao tu usweken huko village.
 
Ungeweka na masomo waliyokuja kusoma, inawezekana wanakuja kusoma Kiswahili na tamaduni za Tanzania, vitu ambavyo hawawezo kusoma nchi nyingi.
na huo ndo ukweli wengi ni hizo ulizotaja hapo au kama ni issue za sayansi basi ni eneo mahsusi ambalo unakuta analazimika kuja Bongo kwa mfano suppose mtu anasomea PHD ya mabusha so unaweza kuta hizo case ni nyingi bongo so anakuja bongo anasomea hiyo.
 
Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Kweli ni wengi na wametoka mataifa karibu 23 ndani ya Afrika na Nje,kama ifuatavyo:-

1. Kenya
2. Uganda
3. Malawi
4. Congo
5. Rwanda
6. Ethiopia
7. Germany
8. Mozambique
9. Zambia
10. South Sudan
11. Liberia
12. Swaziland
13. Burundi
14. Zimbabwe
15. China
16. Tokelau
17. Egypt
18. Ghana
19. Nigeria
20. Sierra Leone
21. Gambia
22. Somalia
23. Cameroon.

bado wale wa muda mfupi wapo wengi kutoka Norway,Germany & China.

data za vyuo vingine sijui Ila kwa UDSM kwa Mwaka huu wanafunzi wa Nje wametokea mataifa hayo.hii maana yake elimu yetu kwa Tanzania ikiwakilishwa na UDSM bado IPO vizuri ndio maana tunapata wageni hao.
Kwa UDSM hiyo mbona kawaida sana kumbuka hicho ndo chuo kikuu kikongwe Tzee so sio ajabu hata kidogo kuwa na wanafunzi wa mataifa mengine kwa level ya Masters au PHD, halafu sometime kulingana na specilization au eneo la utafiti wake na gharama mtu anajikuta analazimika kwenda baadhi ya vyuo. Nakumbuka kuna mtu alipata ufadhili wa kusoma PHD ya magonjwa ya kitropic na akaambiwa part ya kusoma kwake atakuja Tzee na atasoma MUHAS sasa obvious hapo amelazimika hana namna!!
 
Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Kweli ni wengi na wametoka mataifa karibu 23 ndani ya Afrika na Nje,kama ifuatavyo:-

1. Kenya
2. Uganda
3. Malawi
4. Congo
5. Rwanda
6. Ethiopia
7. Germany
8. Mozambique
9. Zambia
10. South Sudan
11. Liberia
12. Swaziland
13. Burundi
14. Zimbabwe
15. China
16. Tokelau
17. Egypt
18. Ghana
19. Nigeria
20. Sierra Leone
21. Gambia
22. Somalia
23. Cameroon.

bado wale wa muda mfupi wapo wengi kutoka Norway,Germany & China.

data za vyuo vingine sijui Ila kwa UDSM kwa Mwaka huu wanafunzi wa Nje wametokea mataifa hayo.hii maana yake elimu yetu kwa Tanzania ikiwakilishwa na UDSM bado IPO vizuri ndio maana tunapata wageni hao.
Umejicompare na Nani mkuu[emoji23][emoji23]chuo Cha 1500+ duniani
 
na huo ndo ukweli wengi ni hizo ulizotaja hapo au kama ni issue za sayansi basi ni eneo mahsusi ambalo unakuta analazimika kuja Bongo kwa mfano suppose mtu anasomea PHD ya mabusha so unaweza kuta hizo case ni nyingi bongo so anakuja bongo anasomea hiyo.
Dah,

Ph.D za mabusha mkuu, kama unatania, halafu kama kuna ukweli mkubwa tu hivi!
 
Back
Top Bottom