Mkuu msaada mzuri ni ule wa kumzuia mtu asianguke, na sio unasubiri aanguke halafu umuokote.Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe
Hii Je?Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe
Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili inawezekana kwa kushindwa ku control hasira atumie nafasi ya dhamana aliyopewa kuwa huru kumwomba askari aliemshambulia na ikiwezekana kama ataridhia wayamalize kifamilia. Ni pamoja na kuliomba Jeshi la polisi msamaha.
Kama wakiridhia msamaha, aombe radhi na kujutia kitendo alichokifanya kupitia vyombo vya habari ili mfano huu mbaya usije ukaigwa na jamii inayomwona kama shujaa. Asipo pambana kufikia suluhu ya kifamilia anapoteza kila kitu kwani kwa kesi kama hii si rahisi kushinda
Swal la raia kuvamia polisi tukilishabikia tutakuwa kama Haiti. Tusitengeneze askari ambao wanakosa kujiamini kwenye kusimamia sheria mwisho wa siku tutakao umia ni sisi wenyewe.
Fikiria ikitokea Polisi waseme tupo likizo mwezi mmoja kilamtu apambane na hali yake. Je tutakuwa salama? Hivyo tusiwabeze kwani hata alie na degree kumi akipewa Bunduki akaambiwa aende lindo kupambana na maharamia hatoweza.
Kila mtu aheshimu fani ya mwingine kwani tunategemeana. Wote tungekuwa madaktari nani angefanya kazi ya ulinzi?
Inawezekana kulikuwa na Provocation lakini ni muhimu kujifunza kuwa mvumilivu na kutokufanya maamuzi ya jazba kwani madhara yake ni makubwa.
Kumbuka hata dakt. alikuwa anawahi kwenye majukumu yake kuokoa maisha ya mtu. Mbona huwa wanaandikaga Notification na mtu anaendelea na majukumu yake halafu atarudi wayamalize? kwa nini askari amzuie dkt. kwa kumnyang'anya fuguo za gari? atafikaje huko kwenye wajibu wake alokuwa anawahi?Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe
Ushauri huu una kamtego fulani.e.g. Polisi akamkubalia dakt. kisha akamwambia ayweke maombi yake kimaandishi au akamrekodi katika mazungumzo baina yao. Je, huo si ni Ushahidi mahakamani?Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili inawezekana kwa kushindwa ku control hasira atumie nafasi ya dhamana aliyopewa kuwa huru kumwomba askari aliemshambulia na ikiwezekana kama ataridhia wayamalize kifamilia. Ni pamoja na kuliomba Jeshi la polisi msamaha.
Hata kama dkt. akishindwa kuna Faini au faini na kifungoKama wakiridhia msamaha, aombe radhi na kujutia kitendo alichokifanya kupitia vyombo vya habari ili mfano huu mbaya usije ukaigwa na jamii inayomwona kama shujaa. Asipo pambana kufikia suluhu ya kifamilia anapoteza kila kitu kwani kwa kesi kama hii si rahisi kushinda
Unayakumbuka maneno na vid clips ya Sheikh Mwaipopo?Swal la raia kuvamia polisi tukilishabikia tutakuwa kama Haiti. Tusitengeneze askari ambao wanakosa kujiamini kwenye kusimamia sheria mwisho wa siku tutakao umia ni sisi wenyewe.
Fikiria ikitokea Polisi waseme tupo likizo mwezi mmoja kilamtu apambane na hali yake. Je tutakuwa salama? Hivyo tusiwabeze kwani hata alie na degree kumi akipewa Bunduki akaambiwa aende lindo kupambana na maharamia hatoweza.
Safi kabisa. Hapo umenena vyema.Kila mtu aheshimu fani ya mwingine kwani tunategemeana. Wote tungekuwa madaktari nani angefanya kazi ya ulinzi?
Kuchomoa switch ya gari ndo ilikuwa provocation. Askari naye angelikuwa mvuilivu na kumsikiliza dkt. hoja yake au angeweza kumwamuru aripoti kituo cha Polisi kilicho karibu. Dkt. akizingua wapo Polisi jamii angewashirikisha au angelichua namba ya gari na particulars nyingine kadri walivyofundishwa na kwa kuzingatia PGO. Sasa na yeye kakunja ngumi- si unaona matokeo? Wanasema ga "Don't argue with a fool, people may not notice the difference"Inawezekana kulikuwa na Provocation lakini ni muhimu kujifunza kuwa mvumilivu na kutokufanya maamuzi ya jazba kwani madhara yake ni makubwa.
Tumia akili yako vizuri mkuu,kwanini unahukumu kesi iko mahakamani tusubiri.Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe
Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili inawezekana kwa kushindwa ku control hasira atumie nafasi ya dhamana aliyopewa kuwa huru kumwomba askari aliemshambulia na ikiwezekana kama ataridhia wayamalize kifamilia. Ni pamoja na kuliomba Jeshi la polisi msamaha.
Kama wakiridhia msamaha, aombe radhi na kujutia kitendo alichokifanya kupitia vyombo vya habari ili mfano huu mbaya usije ukaigwa na jamii inayomwona kama shujaa. Asipo pambana kufikia suluhu ya kifamilia anapoteza kila kitu kwani kwa kesi kama hii si rahisi kushinda
Swal la raia kuvamia polisi tukilishabikia tutakuwa kama Haiti. Tusitengeneze askari ambao wanakosa kujiamini kwenye kusimamia sheria mwisho wa siku tutakao umia ni sisi wenyewe.
Fikiria ikitokea Polisi waseme tupo likizo mwezi mmoja kilamtu apambane na hali yake. Je tutakuwa salama? Hivyo tusiwabeze kwani hata alie na degree kumi akipewa Bunduki akaambiwa aende lindo kupambana na maharamia hatoweza.
Kila mtu aheshimu fani ya mwingine kwani tunategemeana. Wote tungekuwa madaktari nani angefanya kazi ya ulinzi?
Inawezekana kulikuwa na Provocation lakini ni muhimu kujifunza kuwa mvumilivu na kutokufanya maamuzi ya jazba kwani madhara yake ni makubwa.
Mbona mimi nimeshangilia sana! Itakuwaje sasa!Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria mkononi Tutahatarisha usalama wetu wenyewe
Hili ni jambo baya na Nashauri Dr. Aliefanya jambo hili inawezekana kwa kushindwa ku control hasira atumie nafasi ya dhamana aliyopewa kuwa huru kumwomba askari aliemshambulia na ikiwezekana kama ataridhia wayamalize kifamilia. Ni pamoja na kuliomba Jeshi la polisi msamaha.
Kama wakiridhia msamaha, aombe radhi na kujutia kitendo alichokifanya kupitia vyombo vya habari ili mfano huu mbaya usije ukaigwa na jamii inayomwona kama shujaa. Asipo pambana kufikia suluhu ya kifamilia anapoteza kila kitu kwani kwa kesi kama hii si rahisi kushinda
Swal la raia kuvamia polisi tukilishabikia tutakuwa kama Haiti. Tusitengeneze askari ambao wanakosa kujiamini kwenye kusimamia sheria mwisho wa siku tutakao umia ni sisi wenyewe.
Fikiria ikitokea Polisi waseme tupo likizo mwezi mmoja kilamtu apambane na hali yake. Je tutakuwa salama? Hivyo tusiwabeze kwani hata alie na degree kumi akipewa Bunduki akaambiwa aende lindo kupambana na maharamia hatoweza.
Kila mtu aheshimu fani ya mwingine kwani tunategemeana. Wote tungekuwa madaktari nani angefanya kazi ya ulinzi?
Inawezekana kulikuwa na Provocation lakini ni muhimu kujifunza kuwa mvumilivu na kutokufanya maamuzi ya jazba kwani madhara yake ni makubwa.
Sheria wanaifahamu sana sema tu njaa haijawahi kumwacha mtu salamaNyie askari msipofuata Sheria mtapigwa sana tunawajua tabia zenu huku barabarani.