Watanzania Tuache Kushabikia Tukio lisilo la Kimaadili Raia Kupigana na Askari Tena akiwa Kazini

Kuomba rushwa ndio maadili?
 
Kwanza hawa binadamu hawakutakiwa kuishi uraiani.
Wanatakiwa waishi makambini.
Hiyo itakuwa adhabu tosha kwao.
Ukiona Chalamila anavimbia watu,
Anafokea watu ovyo,
Anatukana na kutishia Watu ovyo,
Kiburi chote anakipata kutokea kwa hawa......
Ni viumbe 20,000 tu....wanaotutesa.
Ujinga gani huu.
 
Polisi wetu jinsi walivyo kwa sasa, Agonza namwona shujaa.
Ukikutana na polisi akiwa kazini whether ni mlalamikaji ama mlalamikiwa, yeye anakuona ni fursa ya kumnufaisha.
Akishindwa kukutoza atatafuta namna yoyote ya kukuumiza
Na wanao ushirikianao wa hali ya juu wanapomshughulikia mtu.
 
October 25,ndio chanzo,watu hawana shida na huyo trafik aliyepigwa, individually! Tuna shida na taasisis ya polis ccm, hii taasisi ikiumizwa, sie ni furaha, elewa muktadha hapa, whatever hurts police as a Institute, we are happy,
 
Daktari tunampongeza sana kwa kazi njema iliyotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…