Watanzania tuamke, Bunge la chama kimoja limezaa tozo

Watanzania tuamke, Bunge la chama kimoja limezaa tozo

Naam, ili dawa ituingie vizuri. Watanzania tumezidi mno kuwa mazoba. Bila watanzania wote kupandwa hasira na kusema sasa basi, hakuna kitakachofanyika. Tunahitaji kuwa jasiri kama Wazambia
tumekuwa wajanja mitandaoni tu ila kwenye field apo ndio tatizo linapoanzia.....lakin tujipe subira mateso na manyanyaso yanapozid ndio wanatujengea ujasiri.ipo ck patageuka libya hapa tz
 
Watanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho.

Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa.

Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri.

Hakuna waziri anayejali wala kusikiliza kilio cha tozo gandamizi za miamala na sasa tozo za majengo kupitia huduma za umeme.

Hatuna mwakilishi pale bungeni tukubali kuwa wote waliopo pale ni wana CCM tu na wapo pale kutetea maamuzi yoyote ya kutoka CCM.

View attachment 1901401
Yule kichaa wa chato ndio katuletea wahuni wenzie,huko aliko anapasua kokoto na kubeba mawe
 
Back
Top Bottom