Watanzania tuamke tcra na kampuni za simu wasituchezee

Watanzania tuamke tcra na kampuni za simu wasituchezee

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
99
Reaction score
122
Sote tunakumbuka tarehe ya kuhamia digital ilipofika mitambo ya analogia ilizimwa,mimi nilitegemea hilo litokee hivo hivo kwenye tariff mpya za simu, lakini halijafanyika.sasa the way foward ni kwenda kuuliza whts wrong with TCRA baadae ni kuwaumbua kwa vile watakua wamehongwa les ipsa laquitor
 
Mi nashindwa kuelewa nini maana ya kuanzishwa hii mamlaka kwani makampuni ya simu yamekuwa yakitufanyia upuuzi mwingi bila wao kuchukua hatua ni kama hawapo na ukipeleka malalamiko mpaka wayasikilize imepita miezi 6 wakati wanajua umeshakata tamaa
 
Back
Top Bottom