Watanzania tuamke, tuachane na Katiba ya Ujamaa (Socialism)

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
910
Reaction score
625
Katiba ya CCM ni ya kizamani (ujamaa) na ndio inatuchelewesha kuendelea kwa spidi kama nchi.Ukitembea nchi za wengine imekua ni aibu kwa mtanzania,achilia mbali kutawaliwa na mwanamke maana hata kwenye Imani zetu dini zinasema mwanamke ni msaidizi wa mwanaume.Rasilimali zinaliwa na wachache.Mwanamke kamwe hafai kuwa mtawala huu umethibitishwa na Samia sababu amekua akitawala kwa hisia au kudanganywa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi binafsi ,mwishowe nchi imefika Leo tulipofika.Himiza ndugu na Jamaa kwa njia yoyote Ile hata kama wewe ni diaspora,watu wapiganie haki zao za msingi dhidhi ya utekaji,ufisadi na uongozi mbaya WA Samia na viongozi wake. Freedom is expensive and the price has to be paid. Aluta continua ...
 
Hujui maana ya socialism, mamajakutawala kijamaa, ametawala kibepari. Sifa kubwa ya ujamaa ni public. Manufaa ya wengi ya rasilimali na kusaidia maskini. Pia clasical socialist ambao ni african theorized na philosophers hawaamini kwenye mikopo ya white people na zaidi. Ujamaa unapigania maskini kwa kupunguza gepu kati ya maskini na tajiri
 
Nimezungumzia katiba si mtawala
 
Back
Top Bottom