Ujinga wa keyboard warrior unahama kutoka kwetu ma generation A na B unawaingia madogo sasa wa generation Z
Sina mda wa kubishana na watu mnaoibia wananchi Kodi wanazolipa ila Kaa ukijua hautaishi milele pamoja na hizo Kodi unazoibia masikini
 
Sina mda wa kubishana na watu mnaoibia wananchi Kodi wanazolipa ila Kaa ukijua hautaishi milele pamoja na hizo Kodi unazoibia masikini
Ila muda wa kujidanganya unao?

Generation z yenu bure kabisa acha kutuchuuza.
 
Ila muda wa kujidanganya unao?

Generation z yenu bure kabisa acha kutuchuuza.
Narudia tena hatutanii muda wa kuibia raia umeisha mlichoiba kinatosha aiwezekani raia waisho maisha ya kimasikini Kwa nchi kama hii full stop
 
Nchi imeshikwa na majizi matupu, wana utajiri usio na maelezo, wanatanua mitaani na familia zao kwa pesa za kodi zetu. Wamefanikiwa kwa kutengeneza kabila la machawa. Vijana amkeni jamani nchi inaangamia
 
Tuamke bila vijana hamna kitu chocjote kitabadilika wanawake wazee wanatusikiliza sisi vijana tutafanyaje kwenye hii nchi
 
Unaongea na mizoga mkuu, Tz hakuna vijana wenye morali kama Gen Z wa kenya🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…