Watanzania tuchangamkie fursa. Soko la mayai ni kubwa sana

Watanzania tuchangamkie fursa. Soko la mayai ni kubwa sana

Mkuu upo kitunda na bado unahitaji mayai wakati sie tunajua kitunda ndio wazalishaji haswaa, wakurya wengi wanaotuuzia mayai huku ni wachukua huko kitunda.
 
Mkuu upo kitunda na bado unahitaji mayai wakati sie tunajua kitunda ndio wazalishaji haswaa, wakurya wengi wanaotuuzia mayai huku ni wachukua huko kitunda.
Kitunda kwa dar ndio ilikua inaongoza kwa kuzalisha mayai. Lakini baadae ufugaji ukaja kuwakataa wakurya kabisa, sasa hivi kitunda hakuna wafugaji kabisaa...! Hao wanaowaletea wanachukua kwenye maduka yaliyoko huku kitunda, na hayo mayai ya kwenye frem yanatoka sehemu mbali mbali
 
Back
Top Bottom