Watanzania tuchukue hatua juu ya Tapeli Chalanga

Watanzania tuchukue hatua juu ya Tapeli Chalanga

Sasa mbona sijaona utapeli hapo. Maana suala la mapenzi ni maelewano baina yake yeye na hao mabinti. Labda utuambie kama amekupora shemeji yetu
 
Kuna jamaa anajiita Chalanga, jamaa mshenzi sanaa, Jamaa ni mmirki wa Chuo cha ndege maalufu cha ndege hapa nchini chenye matawi yake tanzania nzima. Jamaa kwanza kabisa anajifanya usarama wa taifa, hivyo anatumia mamlaka na madaraka yake kunyanyasa wananchi na Wanafunzi, Jamaa katomba wafanyakazi wake wakike wote na wakikataa huwatishia kuwafukuza kazi, bila kusahau wanafunzi wake wakike hakuna aliyemuacha salama
Chuo chake kwa daresaram kipo tabata na guest yake maarufu anayotumia kuwatombea inaitwa toroka uje ipo tabata Sanene, Ni jamaa flani mfupi muhaya anamiliki bastola na kwasasa anatembelea puckup ya kijani na anatembea na bodgadi wawili hivyo mkimfata mjiandae maana bodgad wote wanamiliki bastola...wananchi tusikubali uchafu wa huyu jamaa uendelee tuchukue hatua, kizazi chetu kinaharibika kwaajili ya huyu mshenzi chalanga wanajamii forum ni hayo tu
Acha kumchafua mzee wa watu,nimefanya kazi naye ATC hanaga hizo,kama kamgegeda Demu ni personal issue umfuate kaa naye acha kumharibia biashara yake usilete mambo ya kipuuzi hapa
 
JF imekuwa kijiwe cha wahuni na lugha za kihuni zimetamalaki...!!!!!
..........ujinga kabisa mkuu,how mtu anaandika lugha chafu kama hii kwenye wide forum kama hii ambapo hili andiko lake anaweza kuwa anasoma mjomba'ake dada yake au hata mama yake?

Vijana jifunzeni nidham sio kwa sababu mpo nyuma ya keyboards basi mnajiandikia lugha zenu mnazozijua wenyewe mnaiharibu jamii yetu.
 
Mbona kama hii ni personal? Unataka tununue ugomvi usiotuhusu
 
Jamaa hajatukana au mpelekeni BAKITA msimame nae mkiwa na kamusi ile ya TUKI..naamini thread hauisomi kwa sauti kubwa..hahaha wakina Dada hao kama hadi leo hawajitambui shauri yako au wanataka kufaulu bila kusoma lazima watakutana na mitarimbo wakashitaki kwa Mh Makonda
 
Back
Top Bottom