The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa Wageni waliokuja ndiyo wanaweza kuileta hapa .... meaning that kwa sasa haipo!? SERIOUSLY!!Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.
Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete.
Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona wanafariki wakiwa nyumbani bila kujua wanaugua
Tahadhari tulishachukua zamani na hatujawahi kukaa bila tahadhari. Ila usitupangie tahadhari inayoshinikizwa na mabeberu, wanaoifanyia biashara corona!! Usituambie habari ya Pima, Pima ,Pima!! Usituambie habari ya chanjo iliyopatikana kwa utaratibu wa mwendo kasi!! Usituambie habari ya barakoa za nje. Usituambie habari za lockdown!Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.
Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete.
Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona wanafariki wakiwa nyumbani bila kujua wanaugua
🤣🤣🤣"Korona ni vimafua tu"
Tatemane
brazil leo within 24 hr wamekufa over 3,200Huu ugonjwa upo na ni balaa kubwa. namshangaa mama havai barakoa.
Tufe tu tumfuate magu
Kwenye misongamano huko ni mwendo kuambukizana
Ova
Korona imetafuna mungu wa hukooo 😷 😷 😷Toka Mungu wao afariki akili zimeanza kuwarudia
Korona imetafuna mungu wa hukooo [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Nimelipenda bure bandiko lako 🤣 🤣 🤣Tufe tu tumfuate magu
Vp tupige nyungu au tuongeze kubugua tangawizi?Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.
Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete.
Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona wanafariki wakiwa nyumbani bila kujua wanaugua