Watanzania tuchukue tahadhari ya Corona. Jirani zetu Kenya hali ni tete haspitali zimezidiwa wagonjwa

Watanzania tuchukue tahadhari ya Corona. Jirani zetu Kenya hali ni tete haspitali zimezidiwa wagonjwa

Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.

Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete.

Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona wanafariki wakiwa nyumbani bila kujua wanaugua

Watanzania wengi kwa jinsi walivyo kusanyika bila tahadhali wakati wa kuaga jpm, nimeamini uwezo wa kutumia akili zetu ni mdogo. Na bahati mbaya jpm alivuruga mfumo wa uwajibikaji wa taasisi za kiutendaji, hatua wa kuwaelekeza.
 
Hivi hajawahi kushangaa? Rais wa Marekani (na viongozi wengine wa ulaya) alishapata chanjo ya corona mapema tu. Kwa kawaida wiki mbili baada ya chanjo mtu anapaswa kuwa na Kinga ya uhakika. Lakini huyu Biden pamoja na Kinga ya chanjo huwa anashinda na barakoa! Kama umechanjwa kwa nini uvae tena barakoa?? Jibu ni kwamba chanjo haiamini!! Sasa mabeberu wanataka kupiga pesa kwenye chanjo.
Naona unaendelea kukumbatia ujinga.
Kuvaa condom haimaanisha usiwe makini kwa kushiriki ngono zembe na mtu unayejua kabisa ana HIV
 
Endeleeni tu kufuata akili ya mungu wenu wa ccm mpate akili , impact bado zinakuja .
 
Back
Top Bottom