Watanzania wengi kwa jinsi walivyo kusanyika bila tahadhali wakati wa kuaga jpm, nimeamini uwezo wa kutumia akili zetu ni mdogo. Na bahati mbaya jpm alivuruga mfumo wa uwajibikaji wa taasisi za kiutendaji, hatua wa kuwaelekeza.Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.
Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete.
Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona wanafariki wakiwa nyumbani bila kujua wanaugua
Naona unaendelea kukumbatia ujinga.Hivi hajawahi kushangaa? Rais wa Marekani (na viongozi wengine wa ulaya) alishapata chanjo ya corona mapema tu. Kwa kawaida wiki mbili baada ya chanjo mtu anapaswa kuwa na Kinga ya uhakika. Lakini huyu Biden pamoja na Kinga ya chanjo huwa anashinda na barakoa! Kama umechanjwa kwa nini uvae tena barakoa?? Jibu ni kwamba chanjo haiamini!! Sasa mabeberu wanataka kupiga pesa kwenye chanjo.
Ngoja nimuulize Jaffo!Vp tupige nyungu au tuongeze kubugua tangawizi?
Ulete majibu sasa, siyo upotelee kwenye corido ya kutaka uPM huko LumumbaNgoja nimuulize Jaffo!
Hahahaaaa....... Kigwangalla yuko busy anatengeneza mazingira!Ulete majibu sasa, siyo upotelee kwenye corido ya kutaka uPM huko Lumumba
Kingwa huyu huyu aliyemshindwa Dr. Mwaka?Hahahaaaa....... Kigwangalla yuko busy anatengeneza mazingira!