Nilikuwa nimeangalia data za Tanzania na kugundua tozo ni lazima, miradi ni ya lazima na umeme ni wa lazima. Tanzania tuna 70% ya vijana chini ya miaka 24, elimu ni bure kwa wanao chaguliwa, na miradi iliyoko. Sasa hakuna elimu ya bure kwa ukweli ndiyo maana kuna tozo. Elimu ya juu hii mikopo mingi hailipiki pesa ni hizo hizo tozo.
Sasa tufanye nini?
1. Tuhakikishe kila mwananchi akinunua kitu aombe risiti ili pesa iende serikalini
2. Serikali ipunguze matumizi kwa kutumia zaidi teknologia na vitu kama magari. Hii ni pamoja na kupunguza kazi zisizo za muhimu
3. Serikali uzeni assets kwa uwazi ambazo hazitumiki sasa kuna nyumba za serikali Dar na Dodoma, majengo ya ofisi Dar na Dodoma uzeni haya majengo na wekeni hiyo pesa kwenye uwekezaji bank halafu 10% kila mwaka iende kwenye afya au elimu.
4.Majeshi kama Polisi na magereza wana matumizi mabaya. Uhamiaji kumejaa rushwa
5. Tutumieni diaspora kwenye kununua bond. Serikali wekeni utaratibu na kuuza bond za kustaafu kwa diaspora ambao wanataka kurudi nyumbani baadae. Hii itaongeza sana pesa Tanzania kutoka nje
6. Uzalishaji wa kilimo uongezeke hasa kwa vijana
7. Uzalishaji wa gas uongezeka
8. Tuongeze watalii
9. Tuongee na kampuni za teknologia kama Microsoft, Oracle, Amazon kuweka utaratibu wa mafunzo ili vijana wetu waweze kufanya kazi.