Watanzania tuendelee kupigania vitu Bora viwe vya kwetu

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Wenzetu wa mataifa ya ulimwengu wa Kwanza hupigana kufa na kupona kupata kitu Bora kiwe Mali yao hata kama kiasili hakikuwa cha kwao.

Hispania iliwahi kupigana kidiplomasia ili Lionel Messi awe raia wao wapate kumtumia timu ya Taifa japokuwa ilishindikana kutokana na mapenzi ya mchezaji na hofu yake ya kupoteza asili yake. Waliendelea na mtindo huu wakafanikiwa Kwa Diego Costa.

Waingereza wamefanikiwa Kwa watu wengi Wenye vipaji kielimu au kimichezo kama walivyofanya Kwa binti wa kitanzania Pridensiana Kimiti (MBE) Mtoto wa mwanasiasa mkongwe Paulo Petro Kimiti na madaktari pamoja na wasomi kadhaa.

Kwa Muda mrefu Kenya wamekuwa walijotahidi kuidanganya dunia kwamba Mlima Kilimanjaro uko kwao Kwa vile tu ulikuwa unaweza kuingilia Kenya na ukapanda Mlima, yaani Mlima haujifichi hata ukiwa Kenya unaonekana na mtalii ameshatoka Ulaya au America amefika Kenya, hata akigundua amedanganywa lazima atimize azima yake na wakati huo Wakenya wanakuwa wameshachukua kamisheni yao maisha yanaendelea.
Mwaka Jana tumefanya Jambo kubwa Sana upande wa mchezo wa Soka. Tuligundua kuna mchezaji mzuri aliyekulia kwetu lakini si mwwnzetu.

Na Kwa vile wenzetu hawakuwa wamegundua kipaji chake basi Sisi tukawawahi na kumpa uraia. Huyu si mwingine ni KIBU DENIS PROSPER a.k.a KIBUDENGA ambaye Kwa Sasa anakiwasha na Wekundu wa Msimbazi Simba.

Jambo kama hili lisiishie Kwa Kibu pekee, vyuo vyetu vinapogundua Wachumi, Madaktari, Waandisi NK àmbao siyo ràia wawe Wazalendo kujulisha mamlaka za kielimu ili "tuibe" WATAALAMU watupe faida ambayo tusingeipata Kwa Watanzania kama tulivyofanya Kwa KIBU.
 
Mwaka Jana tumefanya Jambo kubwa Sana upande wa mchezo wa Soka. Tuligundua kuna mchezaji mzuri aliyekulia kwetu lakini si mwwnzetu. Na Kwa vile wenzetu hawakuwa wamegundua kipaji chake basi Sisi tukawawahi na kumpa uraia. Huyu si mwingine ni KIBU DENIS PROSPER a.k.a KIBUDENGA ambaye Kwa Sasa anakiwasha na Wekundu wa Msimbazi Simba.
Jambo kama hili lisiishie Kwa Kibu pekee, vyuo vyetu vinapogundua Wachumi, Madaktari, Waandisi NK àmbao siyo ràia wawe Wazalendo kujulisha mamlaka za kielimu ili "tuibe" WATAALAMU watupe faida ambayo tusingeipata Kwa Watanzania kama tulivyofanya Kwa KIBU.
Tanzania ipi ambao imeja watu wenye raho mbaya kama nini, Diamond ni msani mzuri kila nchi ingependa awe raia wao ila hapa bongo ana tukanwa anasemwa vibaya wakati uko Kenya S.A Nigeria na Uganda anapendwa na kuthaminiwa kuliko hapa,.....umasikini ulio letwa na CCM umetufanya kua na roho mbaya wanafiki na wa katili
 
Uko sahihi Mkuu, kuhusu Diamond na Alikiba eti kuna Watanzania Wana timu zào na kazi Kila siku ni kumnanga wasiyempenda.
 
Wenzetu wa mataifa ya ulimwengu wa Kwanza hupigana kufa na kupona kupata kitu Bora kiwe Mali yao hata kama kiasili hakikuwa cha kwao.

Hispania iliwahi kupigana kidiplomasia ili Lionel Messi awe raia wao wapate kumtumia timu ya Taifa japokuwa ilishindikana kutokana na mapenzi ya mchezaji na hofu yake ya kupoteza asili yake. Waliendelea na mtindo huu wakafanikiwa Kwa Diego Costa.

Waingereza wamefanikiwa Kwa watu wengi Wenye vipaji kielimu au kimichezo kama walivyofanya Kwa binti wa kitanzania Pridensiana Kimiti (MBE) Mtoto wa mwanasiasa mkongwe Paulo Petro Kimiti na madaktari pamoja na wasomi kadhaa.

Kwa Muda mrefu Kenya wamekuwa walijotahidi kuidanganya dunia kwamba Mlima Kilimanjaro uko kwao Kwa vile tu ulikuwa unaweza kuingilia Kenya na ukapanda Mlima, yaani Mlima haujifichi hata ukiwa Kenya unaonekana na mtalii ameshatoka Ulaya au America amefika Kenya, hata akigundua amedanganywa lazima atimize azima yake na wakati huo Wakenya wanakuwa wameshachukua kamisheni yao maisha yanaendelea.
Mwaka Jana tumefanya Jambo kubwa Sana upande wa mchezo wa Soka. Tuligundua kuna mchezaji mzuri aliyekulia kwetu lakini si mwwnzetu.

Na Kwa vile wenzetu hawakuwa wamegundua kipaji chake basi Sisi tukawawahi na kumpa uraia. Huyu si mwingine ni KIBU DENIS PROSPER a.k.a KIBUDENGA ambaye Kwa Sasa anakiwasha na Wekundu wa Msimbazi Simba.

Jambo kama hili lisiishie Kwa Kibu pekee, vyuo vyetu vinapogundua Wachumi, Madaktari, Waandisi NK àmbao siyo ràia wawe Wazalendo kujulisha mamlaka za kielimu ili "tuibe" WATAALAMU watupe faida ambayo tusingeipata Kwa Watanzania kama tulivyofanya Kwa KIBU.
Hawa wataalamu wetu tu ambao ni wazawa hawalipwi vizuri, hela yote wanagawana wanasiasa sasa hao wa nje jetutawalipaje?
 
Mimi nimeona main theme hapa ni KIBU DENIS hayo mengine yoote ni mbwembwe tu za kuuzunguka mbuyu.
 
Ndo tuanze kupigania Ustawi wa wataalamu wetu. Haiwezekani Mbunge asiye na faida Kwa nchi analipwa vizuri kuliko Daktari Bingwa ambaye chuoni tu amekaa zaidi ya miaka 10 ukiondoa sekondari na Msingi.
 
Mimi nimeona main theme hapa ni KIBU DENIS hayo mengine yoote ni mbwembwe tu za kuuzunguka mbuyu.
Prudensiana hujamuona wewe umeona Kibu Denis tu Kwa vile anakuhusu? Watanzania mkoje? Niliyeleta mada ni Mimi halafu mawazo ya nini nilichodhamiria unayo wewe!!
 
Back
Top Bottom