moxec
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 191
- 205
For sure, Kenyatta ameona mbali sana, lakini siasa ndio inaiharibu Africa kwa ujumla. Watanzania Tukae tukijua kwamba hiyo fursa ya kwenda kutafuta maisha kwa wale watakaohitaji kwa sababu nina imani kuna wale ambao wanaimani kwamba ukitafuta maisha mazuri/urahisi wa kimaisha hawezi kufanikiwa akiwa katika nchi yake ndio maana kuna watanzania wengi wapo Mozambique, Malawi, Zambia,Kenya, Uganda, Swaziland, Botswana, Namibia,South Africa,Rwanda,Zimbabwe etc. Hilo suala la kuishi nchi nyingine haliangalii nchi hiyo mmeipita kiuchumi au la, mfano kuna watanzania wanafanya biashara za mazao malawi watu huwa wanaangalia fursa.
Kenyatta amefanya kitu hicho ili kumkomoa magufuli, kwakua jamaa anamkazia sana, sasa ameona afanye hivyo huku akiwa anafahamu kuwa kuna watanzania wengi wataindea haki hiyo fursa mwisho wa siku kama akifanikiwa jamaa Lazima atalegeza tu, kwani kutakua na raia wengi wa Tz nchini Kenya so kuna uwezekano kwa baadae Kenya kwa miaka ijayo ikawa ndio second home country for Tanzanians then jamaa akaona aibu kuwabania.
Ifahamike kuwa most of people watakaoguswa ni wafanyabiashara, kwa professionals sizani kwani kuna vitu vitawawia vigumu kuchukua uamuzi wa kuhamia Kenya mfano
1) Education system comparisons are different.
2) Insecurity # Wabongo wengi waliosoma ni waoga hawawezi kwenda eneo ambalo wanajua kabisa muda wowote wenyeji wanaweza kukinukisha. Mfano juzi kwenye election ni picha tosha.
3) Unemployment rate, sio kweli kwamba serikali ya Kenya ita Ku consider ww specialist kutoka Tz katika ajira alafu wamuache mzawa.
4) Tukae tukijua kwamba Kenyatta ni binadamu, muda wake wa kukaa madarakani utaisha, Sasa itakuja kuwa mbaya zaidi wapinzani wakija kupata madaraka kwani watasema wanapigania maslahi ya mkenya na hapo ndio xenophobia itakapotokea.
Kwa kifupi hiyo fursa itawafaa wafanyabiashara, lakini kwa professionals itabidi tu waitafute Botswana, Namibia & SA etc. Ila kwa kwenda Kenya utakua uongo.
Unakumbuka Donald Trump alivyoingia madarakani akiweka mikakati ya kuwatoa wangeni yeye akadili na Sera ya kulinda maslahi ya mmarekani. Akisema atadili na African but not blacks.