Uchaguzi 2020 Watanzania tuisikilize hii sauti ya Mungu "Huyu ni Mwanangu Mpendwa Mpeni Kura Zenu"

Ukienda tutahesabiwa mauti, ukirudi tutahesabiwa ushindi.
 
Nilikua natafuta kanisa la kusali muda mrefu hapo niwapi bandugu niwenasali ,mchungaji anatema madini matupu
Karibu tujumuike hapa Dar Mwenge Efatha. Sauti ya unabii ikamjia Mwingira ikinena " Tundu Lissu ni mshindi"
 
Njoo nikupeleke kwa mganga wa risasi. Inaelekea TAL alikuwa mchanga au ameshakiuka baadhi ya masharti ndo maana zikampata vile. Wewe hujiulizi kwa nini dreva wake hakupatwa na risasi hata moja?
Dereva wake alishuka na kuwauwa wale washambuliaji ndio maana wanamtaka sana..Kwa akili ya kawaida wale washambuliaji lazima wangevunja kioo kuhakikisha Lissu amekufa unafikiri kwa nini hawakufanya hivyo..dereva aliwashikisha adabu wakaenda kuchoma gari na maiti zao..nyambafu
 
Ukweli huyu Lisu wa sasa siyo yule huyu ameshushwa hakuna wa kumshinda nguvu aliyonayo ni kubwa kilasiku inaongezeka nani atamzuia? Tusije shanga litakalo tokea kiongozi akawa bubu ghafla haya
 
Nilikua natafuta kanisa la kusali muda mrefu hapo niwapi bandugu niwenasali ,mchungaji anatema madini matupu
Lisu sio binadamu wa kawaida tena amesema hataki mateso aliyopitia ayapate binadamu mwingine ameapa kutolipiza na kuunda Tz mpya Wananchi waongoze nchi siyo Raisi kuwaburuza wananchi anataka katiba bora ndio ulinzi kama Vitabu vitakatifu vinavyo waongoza waumini
 
Ukweli huyu Lisu wa sasa siyo yule huyu ameshushwa hakuna wa kumshinda nguvu aliyonayo ni kubwa kilasiku inaongezeka nani atamzuia? Tusije shanga litakalo tokea kiongozi akawa bubu ghafla haya
Amemkosea Sana Mungu aliyempa madarakani badala ya kuwalinda kondoo amewapoteza Mungu atamuuliza wapo wapi wengine kondoo
 
Tangu yupo shuleni alipinga uonevu.Baada ya watz kuteswa 5 yrs na kupelekea watz wengi kufa kwa stress,ndoa na familia kusambaratika pale kirusi kimoja tu kilipoingia Mungu amesikia kilio cha watz Sasa anafuta machozi yao.
 
Rais mzuri Ni upatikana toka kwenye fani ya sheria, uchumi, diplomasia au biashara
 
Kamaa ni sauti ya Mungu basi huyo Mungu wako ni waajabu Mungu hawezi tuma mtu mwenye chuki hasira muongo mpindisha ukweli mchochezi mpenda ubishi asiye samehe mzushi kuongoza watu ambao tayari wanaongozwa na chaguo la Mungu aliye fanya miujiza kwa miaka 5 mambo yote yaliyokuwa hayashikiki tokea nchi ipate uhuru yamewezekana mpaka leo jirani zetu wako lock down sie tunasepa mafisadii waliokuwa wanatesa leo hawana pakutokea wanyonge leo tunafuraha JPM ataendelea kuwa JPM
 
Inavyoelekea Lisu ndio binadamu wa kwanza kupigwa risasi na kupona, wacha awe Rais wa dunia.
 
Inavyoelekea Lisu ndio binadamu wa kwanza kupigwa risasi na kupona, wacha awe Rais wa dunia.
CCM mnamuonea mpk wivu Lissu kupigwa risasi?

Pigweni na nyie kama vipi mu-enjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…