Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Msimu jana ilionekana huyu jirani yetu amefanya copy and paste ya jezi ya timu ya taifa ya Tunisia kwa zile jezi nyeupe, ilitakiwa kuwa kengere ya kuwaamsha ili suala ilo lisijirudie tena cha kushangaza kitu hiki kimejitokeza tena mwaka huu kwa jezi nyekundu ambazo ni copy and paste ya jezi za liverpool za msimu 2020/2021
Namuheshimu sana vunjabei ni role model wa sisi vijana wengi sana huku mtaani lakini ni vyema akabaki kwenye jukumu ambalo analimudu, wote tunajua vunjabei amespecialize kwenye biashara ivyo basi ni vyema akabaki kwenye kitego cha mauzo na masoko. Suala la ubunifu sio taaluma yake.
Watanzania tujifunze kuheshimu taaluma za watu ili kuweza kutengeza kazi zenye ubora, haya mambo ya kutaka kila kitu ufanye mwenyewe matokeo yake ndo haya tunatoa kazi za kuiga alafu mbovu na azina ubora., jezi ukiifua mara mbili tu maandishi yashabanduka.