Watanzania tujifunze kuheshimu taaluma za watu

Watanzania tujifunze kuheshimu taaluma za watu

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Msimu jana ilionekana huyu jirani yetu amefanya copy and paste ya jezi ya timu ya taifa ya Tunisia kwa zile jezi nyeupe, ilitakiwa kuwa kengere ya kuwaamsha ili suala ilo lisijirudie tena cha kushangaza kitu hiki kimejitokeza tena mwaka huu kwa jezi nyekundu ambazo ni copy and paste ya jezi za liverpool za msimu 2020/2021

Namuheshimu sana vunjabei ni role model wa sisi vijana wengi sana huku mtaani lakini ni vyema akabaki kwenye jukumu ambalo analimudu, wote tunajua vunjabei amespecialize kwenye biashara ivyo basi ni vyema akabaki kwenye kitego cha mauzo na masoko. Suala la ubunifu sio taaluma yake.

Watanzania tujifunze kuheshimu taaluma za watu ili kuweza kutengeza kazi zenye ubora, haya mambo ya kutaka kila kitu ufanye mwenyewe matokeo yake ndo haya tunatoa kazi za kuiga alafu mbovu na azina ubora., jezi ukiifua mara mbili tu maandishi yashabanduka.

Screenshot_20220812-151224_Google.jpg
 
Tuache sisi wanathimbaa na jezi zetu za kiwango tunamzidi hata mtani wetu

Vunjabei kapatia sana mwaka huu, hilo la kuiga baki nalo wewe

Thimba GUVU MOYA

Hatujamalizaa hatujamalizaaa, mlete mzungu mlete mzungu.
 
Hivi ni kwanini akili za mashabiki wa makolo zinafanana, nimewawekea mpaka picha badala mpingane na facts mnabaki kuleta mipasho tu kama wamama wa uswahili wanaochambana mbele za watu
 
Km umemaliza kuongea utopolo niambie niendelee na ratiba ya kutangaza wachezaji mana siijamaliza

Mlete mzunguu,mlete mzunguu,mlete mzunguu!!
Kama mpaka siku ya leo ikiisha mkiwa bado hamjamaliza kusajiri wachezaji mtutaarifu ili game isogezwe ., tunawataka mkiwa mmetimia
 
Hivi ni kwanini akili za mashabiki wa makolo zinafanana, nimewawekea mpaka picha badala mpingane na facts mnabaki kuleta mipasho tu kama wamama wa uswahili wanaochambana mbele za watu
Vinyesi FC tupisheni mnanuka mavi
 
Hivi ni kwanini akili za mashabiki wa makolo zinafanana, nimewawekea mpaka picha badala mpingane na facts mnabaki kuleta mipasho tu kama wamama wa uswahili wanaochambana mbele za watu
Ulishawahi kukutana na kolo timamu?mi binafsi sikuwahi
 
Jezi 35,000/=
Yanga anapata 1300/=
Badala mpambane kwa wizi anaofanya GSM kila siku mkilala mkiamka mnaiwaza simba tu.
Leta gharama zote ambazo GSM anaingia mpaka jezi inafika sokoni
 
Back
Top Bottom