Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

Namba 1 umeandika uongo kabisa! Usikie wapi? Au baada ya kuona clip samia akiitikiaitikia tu ..isikupe pressure pale aliitikia tu maana alikuwa kwenye kipengele kigumu cha kuitika yes,yes
 
Acha uchoro. Tena tema mate chini.
Usimtaje tena huyo mtoa roho za watu.

Kama unampenda ni wewe na familia yako. Usituhusishe sisi watanzania wengine
Mwalimu fake lazima atazaa mtoto fake kama wewe tu.
 
Uelewe kwamba hata mama yenu huko Royal Tour amesifiwa kwa miradi ambayo sio yake bali ya JPM.
 
Misukule ifikie wakati muache kuweweseka! Na pia ifikie wakati mheshimu maamuzi ya Izraeli mtoa roho! Maana kwa kiasi fulani ameliponya Taifa.
Israel alimtoa roho? Au mafisadi walimuua? Hakuna anayeweweseka na kadri siku zinaenda kifo cha JPM kinaibuka maana watu wanataka ukweli.
 
True [emoji106]& Well said [emoji736] [emoji122]
 
Israel alimtoa roho? Au mafisadi walimuua? Hakuna anayeweweseka na kadri siku zinaenda kifo cha JPM kinaibuka maana watu wanataka ukweli.
Na iko siku mmoja kati ya hao waiwaji atasimama mbele ya kizimba kujibu mashtaka.

Iwe Duniani au kwa Mungu.
 
Mkimpenda nyie inatosha kabisa,"I must talks truth uongozi wa Dicteta magufuli sikuupenda kabisa nilimchukia kwelikweli na baadhi ya vijana wake"
 

Nimeishia kusoma title ya mada yako tu. Sijasoma contents. Na nitajibu na kuchangia kwa msingi wa title of the topic kwa sbb naamini kilichomo ndani maudhui yake yanahusu hilo..

βœ“ KUPENDA au KUTOPENDA ni choice ya mtu. Kwa hiyo una haki kabisa kumpenda Magufuli kwa MOYO wako wote, na kwa ROHO yako yote na ikibidi kwa MWILI wako wote..!

βœ“ Hapo hakuna mjadala. Na kila mtu kwa kweli lazima auheshimu uchaguzi wako. Japo inashangaza kidogo kwa sababu ulimpenda kwa moyo πŸ’“πŸ’“ wako wote, na kwa roho πŸ‘»πŸ‘»πŸ‘» yako yote na kwa mwili wako wote lakini cha ajabu wewe uko HAI unaandika hapa huku uliyempenda na kwa mwili wako wote akiwa KABURINI..!

βœ“ Kuonesha mapenzi yako, kwanini sasa hukufa naye na ukazikwa naye huko CHATO na pengine mtakuja kufufuka naye siku moja? Basi wewe ni mnafiki.!! HUMPENDI MWENZAKO, unatudanganya tu hapa..!!

βœ“ Kwa sababu ROHO, MOYO na MWILI havitengani eti kimoja kiwe KABURINI na kingine kiwe DUNIANI kikijidai kinampenda aliyekwisha kufa...!!

NI UONGO..!!
 
Na iko siku mmoja kati ya hao waiwaji atasimama mbele ya kizimba kujibu mashtaka.

Iwe Duniani au kwa Mungu.
Mwenye kutoa roho ni mungu pekee,asipotaka binadamu huwezi kuitoa roho,Ona yule shetani alivyojaribu kumtoa roho lissu, haikufanikiwa kwa sababu mungu hakutaka."kazi za mungu si za sisi binadamu kuzitolea hukumu,tuelewe hili
RIP JPM Mungu amekupenda ukatumike ahera zaidi.
 
Pumbaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…