Manndasori
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 286
- 259
Hata mtukane mwaka mzima hatarudi malizeni msiba maisha yaendeleeNirudie hapa Kwa msisitizo!
Ni wapumbavu, mafisadi, vyeti feki, mashoga, na waliolelewa kimamama ndio wenye chuki na kiongozi halisi na mwenye wivu na mwenye nia ya dhati wa kuiletea nchi maendeleo ya kweli, si mwingine, ni Hayati JPM!!
Naelewa, wote wenye kuni Quote na kutukana, ndio hao walengwa ninaowasema hapa!!