Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

Jana nimeota ndoto.hata sijaielewa!! Tumwachie Mungu ajuaye na sirini
 
Acha kuweweseka we mataga. Mlikuwa mmezoea kuteka,kutisha na kuua watu. Awamu ya sita mmekosa kazi...mmekuwa redundant..tulieni!

Kwa viwango vyovyote,hayati Magufuli alikuwa kiongozi muovu asiye na stadi za uongozi...makosa yake lazima yasahihishwe ili tusonge mbele.
 
Ulaghai mtupu,usanii na data za kupika. Period! Otherwise,hakuna kitu special alichofanya pamoja na kudhulumu wafanyakazi kwa miaka sita kwa kutowaongeza mishahara wala kuwapandisha madaraja na kupora wafanyabiashara.
 
Upuuzi
 
Israel alimtoa roho? Au mafisadi walimuua? Hakuna anayeweweseka na kadri siku zinaenda kifo cha JPM kinaibuka maana watu wanataka ukweli.
Kwa kuwa nyinyi ni genge la wauwaji wauwaji wasiojulikana,masumbuliwa na kivuli cha matendo yenu,hamuamini katika natural death. Mnadhani kila mtu ni muuaji kama mlivyo!
 
Kwa kuwa nyinyi ni genge la wauwaji wauwaji wasiojulikana,masumbuliwa na kivuli cha matendo yenu,hamuamini katika natural death. Mnadhani kila mtu ni muuaji kama mlivyo!
Hilo genge la mauaji lilimuua baba yako wakakuacha wewe upo hai? Mbona hukutoka hadharani kutoa madai ya mauaji ya baba yako.?
 
Speal for yourself
Ni vema kwamba unapoelezea hisia zako ni bora ujisemee wewe (binafsi) na usiwaingize watu wengine wakati kumbe ni hisia zako wewe binafsi tu. Utafiti kwamba 'Watanzania Tulio Wengi Tunampenda Magufuli' sijui ulifanyika wapi hadi kufikia hatimisho hili kwamba sisi watanzania tulio wengi tunampenda Magufuli.
Jisemee wewe mwenyewe
 
Muache marehemu apumzike, inaonyesha bado hamuamini hayupo tena ndio maana hamuachi kumtaja kwenye kila nyuzi mnazoanzisha.
 
Nonsense!...kwani kuna mtu amekukataza kumpenda!...but he is gone,...accept it!
 
Ndugu, kitu ambacho naamini, dhambi waliyo itenda Kwa JPM itawatafuna na macho ya wengi yataona, na Kuna siku watajisema wazi
Nyie watu wapumbavu kabisa. Jamaa yenu hakuzingatia science wakti wa covid period, hakuna wa kumuua president kwa nchi yetu acheni uzandiki.
 
Hatutaki asahaulike kamwe,we loved him dearly.Roho zetu zinaumia sana,tumepoteza jembe,mjenzi halisi wa Mama Tanzania.
Asiposahaulika kama Taifa tutafaidikaje? Hivi marehem ataweza kutusaidia kitu? Ushaur ni vzr mumuombee huko aliko ndo la msingi!!
 
Kwanza hata sijasoma gazeti lako la kijinga..

Wewe kama unampenda usinijumuishe na mimi..

Hakuna anaebadili wala kuhangaika na marehemu bali tunaweka sawa rekodi..

By the way hakuna mwenye akili timamu anawezampenda Mwendazake.
 
Documentary tunaoneshwa stoo ya pembe za ndovu sasa sijui nayenyewe ni sehemu ya utalii??
 
Hatutaki asahaulike kamwe,we loved him dearly.Roho zetu zinaumia sana,tumepoteza jembe,mjenzi halisi wa Mama Tanzania.

Ni hivi, alikuwa kiongozi muovu na mlevi wa madaraka. Watu walikuwa wanaenda naye kinafiki tu lakini walikuwa hawamkubali. Watanzania wangekuwa wanamkubali asingenajisi chaguzi za nchi hii. Na kwa taarifa yako hao viongozi wenzake wanajua fika kura alizopata na walizopata chama chama chake, ni aibu hata kuzitaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…