Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, roho mbaya kiasi cha kufikia kurecord tu Mtanzania mwenzetu anauwawa na Wapita njia?

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,255
Reaction score
1,565
Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?

Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio kuwepo kwenye lile basi wote mtafutiwe jina mipya.

Pumzika kwa Amani kaka, rafiki, umeangushwa na watu ambao walipaswa kukupigia kwa namna ukivyojitolea kuwapigania.

PIA SOMA
- Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda
 
ustaarabu na kuvumiliana ni muhimu mno huko mabarabarani. mara nyingi matokeo ya kuvimbiana kusiko na maana kwasabb ya haraka, kanakwamba wengine hawana haraka si jambo la kiungwana hata kidogo..

siku hizi mambo ni mengi hususani maradhi au maisha, mtu unaweza kumgusa tu mwenzako kwa Kofi akakata moto, kwa sababu ya kubishana jambo dogo tu...🐒

R.I.P Dereva, nadhani muhimu ni kubaki na funzo tu, sio lawama..

hata hivyo ni nini kimetokea gentleman hata uwe na uchungu kiasi hicho? Robert S Gulenga ?
 
Inauma inasikitisha sana...

Oooh gosh

HAVOC
 
ustaarabu na kuvumiliana ni muhimu mno huko mabarabarani. mara nyingi matokeo ya kuvimbiana kusiko na maana kwasabb ya haraka, kanakwamba wengine hawana haraka si jambo la kiungwana hata kidogo..

siku hizi mambo ni mengi hususani maradhi, mtu unaweza kumgusa tu mwenzako kwa Kofi akakata moto, kwa sababu ya kubishana jambo dogo tu...[emoji205]

R.I.P Dereva, nadhani muhimu ni kubaki na funzo tu, sio lawama..

hata hivyo ni nini kimetokea gentleman hata uwe na uchungu kiasi hicho? Robert S Gulenga ?
Hakikaa[emoji7][emoji7]
 
hakuna watu wenye roho mbaya kama wtz
Ukipata ajali tu watu wanakukimbilia wanakuchukua video na picha,na pia watakuibia,
Ikitokea nyumba au mali yako inaungua wanakuja pia kurekodi video...

Ova
Kuna siku nilikua nimepanda boda boda narudi home , bahati mbaya tumefika sehemu fulani mbwa akakatiza mbele ghafla ,hii ikapelekea sisi kuanguka vibaya sana baada ya boda kutaka kumkwepa.
Cha ajabu sasa kulikua na watu pembeni acha waaanze kutucheka mpaka basi hapo tupo chini tumechubuka chubuka

Niliamka na mitusi mizito sana na panic ya hali ya juu wote wakatimua ndipo nikawaza ,hivi kweli mtu anapata ajali watu wanacheka tumefikia wapi binadamu
 
Sasa na wewe matusi yalikuwa na haja gani?😄 Bado unazidi kuchekesha!
 
Hamkusachiwa mifukoni?
 
Kwa tz kama watu wanasachi mifuko maiti au majeruhi waliopata ajali sembuse ku record picha ya mtu anayepigwa?
Kwa kweli watz tuna roho mbaya.
 
Kwa tz kama watu wanasachi mifuko maiti au majeruhi sembuse ku record picha ya mtu anayepigwa?
Kwa kweli tuna watz roho mbaya.
Tena kama bado unapumua wanakumalizia kabisa ohohoo

Ova
 
ustaarabu na kuvumiliana ni muhimu mno huko mabarabarani. mara nyingi matokeo ya kuvimbiana kusiko na maana kwasabb ya haraka, kanakwamba wengine hawana haraka si jambo la kiungwana hata kidogo..

siku hizi mambo ni mengi hususani maradhi au maisha, mtu unaweza kumgusa tu mwenzako kwa Kofi akakata moto, kwa sababu ya kubishana jambo dogo tu...🐒

R.I.P Dereva, nadhani muhimu ni kubaki na funzo tu, sio lawama..

hata hivyo ni nini kimetokea gentleman hata uwe na uchungu kiasi hicho? Robert S Gulenga ?
Wabongo roho mbaya+makatili tu point yake ndiyo hiyooo

Ova
 
Hamkusachiwa mifukoni?
Hapana mkuu hatukuzima fegi ndio ilisaidia hivi unamkumbuka yule jamaa msanii alikua anaitwa marehemu Sharo milionea? Ilisemekana jamaa walimmalizia kabisa ili wampore vizuri hii jamii ishakua chaf chaf hii.
 
Pamoja na ubinadamu lakini kuingilia mapigano yanayohusisha silaha yatakiwe na weledi kwenye mapigano ya kujilinda na kushambulia maana katika oparesheni hiyo wewe msamaria linaweza kukutokea lolote baya.......

Lakini pia pengine waungwana waliona ni katika mizozo ya kawaida ya kiume na isingefikia hatua ya kutoana roho.......
 
Sasa na wewe matusi yalikuwa na haja gani?😄 Bado unazidi kuchekesha!
SIku moja ukijikuta kwenye situation kama hiyo utanielewa , unajua kutokuamini kinachotokea na kuifanya akili ikubaliane na hali kwa haraka ni rahisi? Hebu wazia unanusurika kupasua kichwa au kufa kabisa alafu muda huo huo uone kundi zima linakucheka unafikiri hautapata wenge?
 
Walimtazama akigombana kwa ajili ya njia, akashuka kwenye bus kugombana na madereva wa malori. wakammwagia kvant kwenye macho akakosa control akaanguka wakamshindilia vyuma kichwani.

Watanzania tumekuwa waoga hivi?

Alijitetea mwenyewe, akafa, Pole dereva, Mungu mpokee kijana wako

Hiyo nchi ya Rwanda sijui Burundi na madereva wale NAWALAANI KWA JINA LA BWANA.
 
Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?

Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio kuwepo kwenye lile basi wote mtafutiwe jina mipya.

Pumzika kwa Amani kaka, rafiki, umeangushwa na watu ambao walipaswa kukupigia kwa namna ukivyojitolea kuwapigania.

PIA SOMA
- Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda
Inasikitisha sana.

Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.
 
Back
Top Bottom