cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekunywa mbege asubuhi hii saa 11 kasoro?Walimtazama akigombana kwa ajili ya njia, akashuka kwenye bus kugombana na madereva wa malori. wakammwagia kvant kwenye macho akakosa control akaanguka wakamshindilia vyuma kichwani.
Watanzania tumekuwa waoga hivi?
Alijitetea mwenyewe, akafa, Pole dereva, Mungu mpokee kijana wako
Hiyo nchi ya Rwanda sijui Burundi na madereva wale NAWALAANI KWA JINA LA BWANA.
actually,Wabongo roho mbaya+makatili tu point yake ndiyo hiyooo
Ova
Watu hawataki kuwa mashahidi mixer washukiwaSIku moja ukijikuta kwenye situation kama hiyo utanielewa , unajua kutokuamini kinachotokea na kuifanya akili ikubaliane na hali kwa haraka ni rahisi? Hebu wazia unanusurika kupasua kichwa au kufa kabisa alafu muda huo huo uone kundi zima linakucheka unafikiri hautapata wenge?
Tayari WAMESHAKAMATWA..Polisi Hadi Sasa Bado tu hawajawakamata.Hii Nchi hii!
Tayari.Mimi nataka kujua hao wauaji walikamatwa ama vipi
Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?
Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio kuwepo kwenye lile basi wote mtafutiwe jina mipya.
Pumzika kwa Amani kaka, rafiki, umeangushwa na watu ambao walipaswa kukupigia kwa namna ukivyojitolea kuwapigania.
PIA SOMA
- Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda