Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
ustaarabu na kuvumiliana ni muhimu mno huko mabarabarani. mara nyingi matokeo ya kuvimbiana kusiko na maana kwasabb ya haraka, kanakwamba wengine hawana haraka si jambo la kiungwana hata kidogo..Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?
Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio kuwepo kwenye lile basi wote mtafutiwe jina mipya.
Pumzika kwa Amani kaka, rafiki, umeangushwa na watu ambao walipaswa kukupigia kwa namna ukivyojitolea kuwapigania.
PIA SOMA
- Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda
Inauma inasikitisha sana...Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?
Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio kuwepo kwenye lile basi wote mtafutiwe jina mipya.
Pumzika kwa Amani kaka, rafiki, umeangushwa na watu ambao walipaswa kukupigia kwa namna ukivyojitolea kuwapigania.
PIA SOMA
- Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda
Hakikaa[emoji7][emoji7]ustaarabu na kuvumiliana ni muhimu mno huko mabarabarani. mara nyingi matokeo ya kuvimbiana kusiko na maana kwasabb ya haraka, kanakwamba wengine hawana haraka si jambo la kiungwana hata kidogo..
siku hizi mambo ni mengi hususani maradhi, mtu unaweza kumgusa tu mwenzako kwa Kofi akakata moto, kwa sababu ya kubishana jambo dogo tu...[emoji205]
R.I.P Dereva, nadhani muhimu ni kubaki na funzo tu, sio lawama..
hata hivyo ni nini kimetokea gentleman hata uwe na uchungu kiasi hicho? Robert S Gulenga ?
Kuna siku nilikua nimepanda boda boda narudi home , bahati mbaya tumefika sehemu fulani mbwa akakatiza mbele ghafla ,hii ikapelekea sisi kuanguka vibaya sana baada ya boda kutaka kumkwepa.hakuna watu wenye roho mbaya kama wtz
Ukipata ajali tu watu wanakukimbilia wanakuchukua video na picha,na pia watakuibia,
Ikitokea nyumba au mali yako inaungua wanakuja pia kurekodi video...
Ova
Kuna siku nilikua nimepanda boda boda narudi home , bahati mbaya tumefika sehemu fulani mbwa akakatiza mbele ghafla ,hii ikapelekea sisi kuanguka vibaya sana baada ya boda kutaka kumkwepa.
Cha ajabu sasa kulikua na watu pembeni acha waaanze kutucheka mpaka basi hapo tupo chini tumechubuka chubuka
Niliamka na mitusi mizito sana na panic ya hali ya juu wote wakatimua ndipo nikawaza ,hivi kweli mtu anapata ajali watu wanacheka tumefikia wapi binadamu
Hiyo sababu haitoshi mkuu!Alipigwa na gongo la chuma mara moja tu ndugu yetu (dereva) akaenda peponi. Kwahiyo hata sisi abiria hatukupata wasaa wa kuingilia ugomvi.
Hamkusachiwa mifukoni?Kuna siku nilikua nimepanda boda boda narudi home , bahati mbaya tumefika sehemu fulani mbwa akakatiza mbele ghafla ,hii ikapelekea sisi kuanguka vibaya sana baada ya boda kutaka kumkwepa.
Cha ajabu sasa kulikua na watu pembeni acha waaanze kutucheka mpaka basi hapo tupo chini tumechubuka chubuka
Niliamka na mitusi mizito sana na panic ya hali ya juu wote wakatimua ndipo nikawaza ,hivi kweli mtu anapata ajali watu wanacheka tumefikia wapi binadamu
Tena kama bado unapumua wanakumalizia kabisa ohohooKwa tz kama watu wanasachi mifuko maiti au majeruhi sembuse ku record picha ya mtu anayepigwa?
Kwa kweli tuna watz roho mbaya.
Wabongo roho mbaya+makatili tu point yake ndiyo hiyoooustaarabu na kuvumiliana ni muhimu mno huko mabarabarani. mara nyingi matokeo ya kuvimbiana kusiko na maana kwasabb ya haraka, kanakwamba wengine hawana haraka si jambo la kiungwana hata kidogo..
siku hizi mambo ni mengi hususani maradhi au maisha, mtu unaweza kumgusa tu mwenzako kwa Kofi akakata moto, kwa sababu ya kubishana jambo dogo tu...🐒
R.I.P Dereva, nadhani muhimu ni kubaki na funzo tu, sio lawama..
hata hivyo ni nini kimetokea gentleman hata uwe na uchungu kiasi hicho? Robert S Gulenga ?
Hapana mkuu hatukuzima fegi ndio ilisaidia hivi unamkumbuka yule jamaa msanii alikua anaitwa marehemu Sharo milionea? Ilisemekana jamaa walimmalizia kabisa ili wampore vizuri hii jamii ishakua chaf chaf hii.Hamkusachiwa mifukoni?
SIku moja ukijikuta kwenye situation kama hiyo utanielewa , unajua kutokuamini kinachotokea na kuifanya akili ikubaliane na hali kwa haraka ni rahisi? Hebu wazia unanusurika kupasua kichwa au kufa kabisa alafu muda huo huo uone kundi zima linakucheka unafikiri hautapata wenge?Sasa na wewe matusi yalikuwa na haja gani?😄 Bado unazidi kuchekesha!
Inasikitisha sana.Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?