Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?
Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio kuwepo kwenye lile basi wote mtafutiwe jina mipya.
Pumzika kwa Amani kaka, rafiki, umeangushwa na watu ambao walipaswa kukupigia kwa namna ukivyojitolea kuwapigania.
PIA SOMA
-
Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda
Huenda alimsema vibaya kiongozi hasa spika.
Spika alishatoa amri ya kunyooka na mtu yeyote anayemsema vibaya kiongozi. Sasa hatujui kama alimsema vibaya kiongozi yupi au ni ubaya ubwela tu.
Nchi ina Watu waliojengwa kiubinafsi sana . Watu wanamuangalia mtu anauawa hadharani bila kuchukua hatua yoyote . Nadhani hata wakina mama wangeweza wakashuka wakamzuia yule Muuaji asiye achalia mbali wanaume .
Uzalendo umeuawa na waliouza rasilimali zetu kwa kuwathamini wageni.
Lakini pia Watu wanaopotea huku wengine wakikaa kimya tena wakiwa ni watawala wanaopaswa kutulinda nalo ni jambo la hatari sana. Watu wakiambiwa waandamane wapinge mauaji na kutekwa kwa Watu wasio na hatia wanasema hayo ni mambo ya Chadema hayaruhusu.
Kwa sasa roho ya ubinafsi ni kubwa sana na imejengwa na wale tuliowapa madaraka ya kujenga umoja,utu, upendo ,amani na mshikamano. Kila mtu yupo bize kuangalia mambo yake . Hata Alphonce Mawazo aliuawa hadharani bila Watu kusaidia.
Uligusa kamba ya mtu anayoitumia kula kwa urefu wake basi ujue atanyooka na wewe.
2025 tuifute CCM na unyama wake utaondoka na Tanzania,Tanganyika na Zanzibar zitakua nchi bora sana zenye kuwalinda na kuwaheshimu Watu wake.
Watanganyika hatuna pa kukimbilia endapo tukiendelea kuacha hawa madalali waendelee kuuza nchi yetu kwa wageni.
Watanganyika tukiwa wakimbizi hata Zanzibar hawawezi kutopokea.
Watanganyika Nchi yetu ni kwa ajili yetu na watoto wetu na wajukuu zetu. Tusidanganywe Kuwa wageni wanatusaidia la hasha . Tukiwaacha waovu nchi waibinafsishe kwa wachina na wazungu na waarabu na hata nchi nyingine yeyote basi tumekwisha.
Maisha yetu watanganyika ni ya kubishana ,kukemeana ,kuambiana kwa maneno lakini wenzetu hawana utamaduni huo hata hapo Zanzibar kwa majirani zetu zaidi hawana uvumilivu na watanganyika na mila zao na dini zao za asili au zilizo tofauti na ya kwao.
Tujifunze kuwapigania wengine wanapoonewa itatusaidia kwani uonevu na mauaji vileramalaki sana Tanganyika kwa sasa.