kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Ndugu zangu watanzania tunasababu ya kuiondoa ccm kutawala ktk nchi hii.
Maana inachofanya ccm ni kutukandamiza wananchi ili wao wanufaike na familia zao.
Yaani ukibeba gunia 4 za mahindi au mpunga lazima ushuru.
Hata ukibeba pumba za mahindi2 au mchele kwaajili ya kulishia mifugo nyumbani wanataka ushuru.
Itafika mahali hata hewa watataka tulipie.
Wilaya ya mvomero inaongoza kwa vitendo hivi,yaani inaumiza sana.
Mbona raslimali tunazo nyingi inakuwaje kukamua wananchia mpk tone la mwisho la damu?
Samia suluhu hassan Rais wa Tanzania watu wa Mungu tunakomeshwa sana,tunateseka sana. Kibaya zaidi hatuna mtetezi.
Mungu anakuona kwa matendo haya ambayo hutaki kuyadhibiti.
Huyu Mwigulu nchemba unayemkumbatia atakufikisha pabaya.
Watu wanalalamika kila kona mpk vijijini kwa watu wanaodhaniwa ni mbumbu hawakuangalii vizuri.
Wanauliza maswali mengi juu yako,hasa uwezo wako wa kuongoza hii nchi.
Maana licha ya tozo na ushuru mbovu,lakini sehemu waliyokuwa wanasafiri kwa pikipiki kwa sh1000,kwasasa ni 5000.
Wazazi vijijini wanawaambia watoto wao kwenye mtihani wa std7 wasijaze majibu yatakayopelekea kwenda sekondari kwakuwa hawana uwezo wa kuwagharimia.
Vijana wanatiana mimba na kuzaa wakiwa wadogo kwakuwa wamekosa kuendelea na elimu.
WEWE NA CCM YAKO MNALIPELEKA WAPI TAIFA HILI?
Wabunge nao hawafai kabisa,siyo watetezi wa wananchi kabisa.
Afaehari ya waandishi wa habari wanauwezo wa kuibana serikali kwa maswali live au kwa kutumia kalamu zao.
EEE! MWENYEZI MUNGU TUKUMBUKE KWA MATESO TUNAYOPEWA NA WATAWALA,UTUKOMBOE KAMA ULIVYOWAKOMBOA WAISRAEL MBELE YA FARAO.
AMEN