Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

Serikali ya CCM haiwezi ikafanya jambo la namna hiyo hata kidogo.

Wewe punguani una mamlaka gani ya kuifanya CCM ifanye au isifanye uovu? Wewe si chochote ndani ya CCM. Huna uwezo hata wa kuzuia au kuamrisha choo cha ofisi za CCM kisafishwe au kibakie kichafu, halafu unajifanya una uwezo wa kuyajua yanayotendwa na CCM gizani.

Kikwete aliyekuwa Mwentekiti wa CCM Taifa, alisema CCM hawawezi kuachiana hata chupa ya maji mezani, akimaanisha wengi wao wapo tayari hata kuuana. Hayati Magufuli, Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwahi kunena kuwa ndani ya CCM kuna majizi! Wewe nguchiro, usiyetambulika na yeyote ndani ya CCM unathubutu kutamka kuwa CCM haiwezi kutenda uovu, wakati chama kimajaa watu wenye historia chafu za kufanya mauaji. Fuatilia historia ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, mkoa wa Mwanza, na wengine wengi, ndiyo utajua hii CCM ni chama cha kishetani kwa kiwango gani.
 
Ukaandika vizuuuri point zinaeleweka, ukaona haiwezekani jasiri aache asili yake, ukavuta moshi wa uani gafla ukaanza kuyakoroga sasa, sasa mambo ya chadema na ccm katika tukio lile vinahusianaje?
 
hiyo silahaa hapa tanzania umeshamiliki ?.hii tanzania wanaomiliki silahaa ni jeshi la polisi,viongozi,jeshi na ccm sasa bishana nao watabadilika wasiojulikana
 
Ungeacha wenye akili wajadili hoja hii na wewe usubiri mada zingine nitakazoleta zenye kuendana na upeo wa akili yako.

Wewe ni punguani kupindukia usiyejitambua kuwa huna akili ya kujenga hoja zenye mantiki ndiyo maana kila mara unaleta vioja badala ya hoja. Wewe ni completely misfit kwenye jukwaa la JF. JF iliundwa kwaajili ya watu wenye akili timamu, wenye kujenga hoja zenye mantiki, siyo mahali pa kuketa upuuzi wa kuetetea uovu na ushetani kama unavyofanya wewe.

Pole sana, ni bahati mbaya sana kwa wazazi na ndugu zako maana umekosa maana katika jamii ya watu wema na wenye hekima.
 
Ukaandika vizuuuri point zinaeleweka, ukaona haiwezekani jasiri aache asili yake, ukavuta moshi wa uani gafla ukaanza kuyakoroga sasa, sasa mambo ya chadema na ccm katika tukio lile vinahusianaje?
Ndipo upeo wake unapoishia. Tangu lini chawa akawa na weledi!!
 
Matatizo na matukio kama haya mara ya Kenya, SA, Zimbabwe ndio mnakuja kila leo kusema tumejifunza nini
Hili neno tumejifunza kwa ujinga wa wengine linakera
Badala ya kusema China anafyatua magari ya umeme kama kichaa TUMEJIFUNZA nini?
Tunakalia kuandika haya yasiokuwa na faida kwetu
 
Wewe ni punguani kupindukia usiyejitambua kuwa huna akili ya kujenga hoja zenye mantiki ndiyo maana kila mara unaleta vioja badala ya hoja. Wewe ni completely misfit kwenye jukwaa la JF. JF iliundwa kwaajili ya watu wenye akili timamu, wenye kujenga hoja zenye mantiki, siyo mahali pa kuketa upuuzi wa kuetetea uovu na ushetani kama unavyofanya wewe.

Pole sana, ni bahati mbaya sana kwa wazazi na ndugu zako maana umekosa maana katika jamii ya watu wema na wenye hekima.
Ungezingatia na kuufuata ushauri wangu wa kukutaka usubirie mada za kuendana na kimo chako cha akili maana hii ipo juu ya uwezo wako.wala usijali maana nitaleta zile utakazoweza kuzijadili vyema.
 
Matatizo na matukio kama haya mara ya Kenya, SA, Zimbabwe ndio mnakuja kila leo kusema tumejifunza nini
Hili neno tumehifunza kwa ujinga wa wengine linakera
Badala ya kusema China anafyatua magari ya umeme kama kichaa TUMEJIFUNZA nini?
Tunakalia kuandika haya yasiokuwa na faida kwetu
Hata wewe ukitaka unaweza ukaandika hayo ya China.
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3041884View attachment 3041885

Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote kunakotokana na kupigwa risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump Rais mstaafu wa Marekani na mgombea Urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican alipokuwa akihutubia jukwaani huko Pennsylvania.

Taarifa za kupigwa kwa Donald Trump zimewashitua sana wamarekani na kuwaunganisha wanasiasa wote wakubwa Nchini humo wale wa Democratic na Republican,katika kulaani tukio hilo na kusema kuwa Marekani siyo mahali pa siasa za vurugu .Rais Bideni pia amelaani sana tukio hilo la kupigwa risasi kwa Mpinzani wake huyo Mkuu.

Tukio hilo limewakumbusha mbali sana hasa kwa kuzingatia kuwa wamarekani wamewahi kupoteza Marais wao baada ya kupigwa Risasi.na kwa mara ya Mwisho na kwa John F Kennedy aliyepigwa risasi miaka ya 60.

Sasa nataka kuwaulizeni Watanzania mmejifunza nini kupitia tukiona hilo? Mimi nimejifunza kuwa matukio ya aina hiyo yanaweza kutokea mahali popote pale na nchi yoyote ile bila kujali ni nchi maskini au nchi tajiri ,linaweza kutokea hata kama nchi ina teknolojia ya kiwango cha juu au intelijensia ya kiwango cha kimataifa.

Embu fikiria Marekani yenye kila aina ya teknolojia ya kisasa,zana za kisasa, miundombinu bora,ujuzi na maarifa ya kila kitu lakini walishindwa kung'amua tukio hilo na kulizima kabla ya risasi kumpata mgombea Urais jukwaani.

Nimejifunza pia uharaka wa vyombo vyake vya ulinzi katika kumuokoa mtu kutoka eneo la tukio na kumkabili adui,maana adui aliuwawa palepale.lakini ukiangalia namna walinzi walivyokimbia haraka kwenda kumzingira Trump pale jukwaani huku wengine wakiendelea kulizinguka jukwaa zidi ya adui ,namna walivyokuwa wakimtoa jukwaani na kumkimbiza haraka kwenye gari.

Umahiri wa kumtungua adui bila kupiga risasi hovyo hovyo ambazo pengine zingeleta madhara kwa wengine,lakini pia umakini wa kutumia Risasi na slaha zao.maana walinzi wale walijibu mapigo kwa kumuelekea adui na siyo kupiga risasi zisizo na maana au kuleta taharuki zaidi.

Lakini pia namna watu waliokuwa mkutanoni walivyokaa chini kwa uharaka sana kujihami.hapa ni somo zuri sana maana kama wangeamua kukimbia huku na huku pengine kungetokea maafa au vifo vingi kutokana na kukanyagana .lakini wamarekani wale nimeona wote walilala chini kwa haraka sana huku vyombo vyao vikimkabili adui kwa uhodari mkubwa sana.

Lakini pia watanzania hususani wanasiasa tuwe wasikivu sana pale vyombo vya ulinzi hususani jeshi la polisi linapowanyima kibali chama kufanya mkutano sehemu fulani ,kwa sababu ya taarifa za kiintelijensia kwa sababu za kiusalama.

kwa sababu nimekuwa nikiona baadhi ya vyama hususani CHADEMA wakinyimwa kibali kwa sababu ya intelijensia au taarifa kuonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani au hali kutokuwa shwari au kutokea kwa uvunjifu wa amani . CHADEMA huanza kuleta kukejeli au kutoa lugha za dharau au ujuaji.

Mwisho tuache kuitupia lawama serikali kwa kila jambo kuwa imehusika.hii ni kwakuwa unakuta mtu kapotea au kakutwa na majereha halafu watu kwa mihemuko wanaanza kuropoka kuwa serikali imehusika.jambo ambalo unakuta hawana ushahidi wala uthibitisho wa aina yoyote ile ambao unaweza kutolewa mahakamani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lissu alivyokuw gun shot ulisikia Rais wa kipnd kile kulaan (au angekuw baba ako kakalishwa ndio ungekumbuk vzr)
Ulisikia katb ya cham cha mcc kulaan
Ulion act ya vyo vya usalam ,

Uwez kubatiza mambo ya dunia yetu ya tatu
na dunia ya kwanza , stop your nothnss

Tuache uchawa twenden kenya
 
Mheshimiwa Rais alitoa pole na hata Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hasssan ambaye kwa wakati huo alikuwa ni makamu wa Rais alifika mpaka Nchini kenya hospitali aliyokuwa amelazwa kumjulia hali
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3041884View attachment 3041885

Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote kunakotokana na kupigwa risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump Rais mstaafu wa Marekani na mgombea Urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican alipokuwa akihutubia jukwaani huko Pennsylvania.

Taarifa za kupigwa kwa Donald Trump zimewashitua sana wamarekani na kuwaunganisha wanasiasa wote wakubwa Nchini humo wale wa Democratic na Republican,katika kulaani tukio hilo na kusema kuwa Marekani siyo mahali pa siasa za vurugu .Rais Bideni pia amelaani sana tukio hilo la kupigwa risasi kwa Mpinzani wake huyo Mkuu.

Tukio hilo limewakumbusha mbali sana hasa kwa kuzingatia kuwa wamarekani wamewahi kupoteza Marais wao baada ya kupigwa Risasi.na kwa mara ya Mwisho na kwa John F Kennedy aliyepigwa risasi miaka ya 60.

Sasa nataka kuwaulizeni Watanzania mmejifunza nini kupitia tukiona hilo? Mimi nimejifunza kuwa matukio ya aina hiyo yanaweza kutokea mahali popote pale na nchi yoyote ile bila kujali ni nchi maskini au nchi tajiri ,linaweza kutokea hata kama nchi ina teknolojia ya kiwango cha juu au intelijensia ya kiwango cha kimataifa.

Embu fikiria Marekani yenye kila aina ya teknolojia ya kisasa,zana za kisasa, miundombinu bora,ujuzi na maarifa ya kila kitu lakini walishindwa kung'amua tukio hilo na kulizima kabla ya risasi kumpata mgombea Urais jukwaani.

Nimejifunza pia uharaka wa vyombo vyake vya ulinzi katika kumuokoa mtu kutoka eneo la tukio na kumkabili adui,maana adui aliuwawa palepale.lakini ukiangalia namna walinzi walivyokimbia haraka kwenda kumzingira Trump pale jukwaani huku wengine wakiendelea kulizinguka jukwaa zidi ya adui ,namna walivyokuwa wakimtoa jukwaani na kumkimbiza haraka kwenye gari.

Umahiri wa kumtungua adui bila kupiga risasi hovyo hovyo ambazo pengine zingeleta madhara kwa wengine,lakini pia umakini wa kutumia Risasi na slaha zao.maana walinzi wale walijibu mapigo kwa kumuelekea adui na siyo kupiga risasi zisizo na maana au kuleta taharuki zaidi.

Lakini pia namna watu waliokuwa mkutanoni walivyokaa chini kwa uharaka sana kujihami.hapa ni somo zuri sana maana kama wangeamua kukimbia huku na huku pengine kungetokea maafa au vifo vingi kutokana na kukanyagana .lakini wamarekani wale nimeona wote walilala chini kwa haraka sana huku vyombo vyao vikimkabili adui kwa uhodari mkubwa sana.

Lakini pia watanzania hususani wanasiasa tuwe wasikivu sana pale vyombo vya ulinzi hususani jeshi la polisi linapowanyima kibali chama kufanya mkutano sehemu fulani ,kwa sababu ya taarifa za kiintelijensia kwa sababu za kiusalama.

kwa sababu nimekuwa nikiona baadhi ya vyama hususani CHADEMA wakinyimwa kibali kwa sababu ya intelijensia au taarifa kuonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani au hali kutokuwa shwari au kutokea kwa uvunjifu wa amani . CHADEMA huanza kuleta kukejeli au kutoa lugha za dharau au ujuaji.

Mwisho tuache kuitupia lawama serikali kwa kila jambo kuwa imehusika.hii ni kwakuwa unakuta mtu kapotea au kakutwa na majereha halafu watu kwa mihemuko wanaanza kuropoka kuwa serikali imehusika.jambo ambalo unakuta hawana ushahidi wala uthibitisho wa aina yoyote ile ambao unaweza kutolewa mahakamani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umeandka vizuri , paragraph za Mwishoni UMEHARISHA UHARO WA MTORI 🤔🤔🤣😅
 
Back
Top Bottom