Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

Serikali ya CCM haiwezi ikafanya jambo la namna hiyo hata kidogo.

Wewe punguani una mamlaka gani ya kuifanya CCM ifanye au isifanye uovu? Wewe si chochote ndani ya CCM. Huna uwezo hata wa kuzuia au kuamrisha choo cha ofisi za CCM kisafishwe au kibakie kichafu, halafu unajifanya una uwezo wa kuyajua yanayotendwa na CCM gizani.

Kikwete aliyekuwa Mwentekiti wa CCM Taifa, alisema CCM hawawezi kuachiana hata chupa ya maji mezani, akimaanisha wengi wao wapo tayari hata kuuana. Hayati Magufuli, Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwahi kunena kuwa ndani ya CCM kuna majizi! Wewe nguchiro, usiyetambulika na yeyote ndani ya CCM unathubutu kutamka kuwa CCM haiwezi kutenda uovu, wakati chama kimajaa watu wenye historia chafu za kufanya mauaji. Fuatilia historia ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, mkoa wa Mwanza, na wengine wengi, ndiyo utajua hii CCM ni chama cha kishetani kwa kiwango gani.
 
Ukaandika vizuuuri point zinaeleweka, ukaona haiwezekani jasiri aache asili yake, ukavuta moshi wa uani gafla ukaanza kuyakoroga sasa, sasa mambo ya chadema na ccm katika tukio lile vinahusianaje?
 
hiyo silahaa hapa tanzania umeshamiliki ?.hii tanzania wanaomiliki silahaa ni jeshi la polisi,viongozi,jeshi na ccm sasa bishana nao watabadilika wasiojulikana
 
Ungeacha wenye akili wajadili hoja hii na wewe usubiri mada zingine nitakazoleta zenye kuendana na upeo wa akili yako.

Wewe ni punguani kupindukia usiyejitambua kuwa huna akili ya kujenga hoja zenye mantiki ndiyo maana kila mara unaleta vioja badala ya hoja. Wewe ni completely misfit kwenye jukwaa la JF. JF iliundwa kwaajili ya watu wenye akili timamu, wenye kujenga hoja zenye mantiki, siyo mahali pa kuketa upuuzi wa kuetetea uovu na ushetani kama unavyofanya wewe.

Pole sana, ni bahati mbaya sana kwa wazazi na ndugu zako maana umekosa maana katika jamii ya watu wema na wenye hekima.
 
Ukaandika vizuuuri point zinaeleweka, ukaona haiwezekani jasiri aache asili yake, ukavuta moshi wa uani gafla ukaanza kuyakoroga sasa, sasa mambo ya chadema na ccm katika tukio lile vinahusianaje?
Ndipo upeo wake unapoishia. Tangu lini chawa akawa na weledi!!
 
Matatizo na matukio kama haya mara ya Kenya, SA, Zimbabwe ndio mnakuja kila leo kusema tumejifunza nini
Hili neno tumejifunza kwa ujinga wa wengine linakera
Badala ya kusema China anafyatua magari ya umeme kama kichaa TUMEJIFUNZA nini?
Tunakalia kuandika haya yasiokuwa na faida kwetu
 
Ungezingatia na kuufuata ushauri wangu wa kukutaka usubirie mada za kuendana na kimo chako cha akili maana hii ipo juu ya uwezo wako.wala usijali maana nitaleta zile utakazoweza kuzijadili vyema.
 
Hata wewe ukitaka unaweza ukaandika hayo ya China.
 
Lissu alivyokuw gun shot ulisikia Rais wa kipnd kile kulaan (au angekuw baba ako kakalishwa ndio ungekumbuk vzr)
Ulisikia katb ya cham cha mcc kulaan
Ulion act ya vyo vya usalam ,

Uwez kubatiza mambo ya dunia yetu ya tatu
na dunia ya kwanza , stop your nothnss

Tuache uchawa twenden kenya
 
Mheshimiwa Rais alitoa pole na hata Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hasssan ambaye kwa wakati huo alikuwa ni makamu wa Rais alifika mpaka Nchini kenya hospitali aliyokuwa amelazwa kumjulia hali
 
Umeandka vizuri , paragraph za Mwishoni UMEHARISHA UHARO WA MTORI πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…